5G technology: Vodacom Vs Tigo; Tupeane mrejesho nani katisha sana kwenye 'Superspeed' kati ya mitandao hii

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,905
10,669
Vodacom na Tigo mitandao yote hii inajisifu kwa kuongoza kuwa na kasi kubwa ya internet 5G. Kwa baadhi ya maeneo nchini na baadhi ya watu wamekwisha jaribu kuona Je! Yaliyomo yamo?

Tupe ripoti yako tafadhali.
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    46.2 KB · Views: 28
Suala la network kwa Tz voda hana mpinzani kabisa. Kuhusu kasi nafikiri inategemeana na mtu ulipo, kuna sehemu unaweza ukawepo tiGO ikawa mwendo kuliko Voda.

Ila in General voda yupp njema zaidi. Kuna sehemu line za tiGO na TTCL na Airtel unaweza ukatupa line.
 
5G ya bongo ni NSA, 5G built over 4G network...longolongo unayoipata katika LTE hata kwenye 5G utaipata vile vile
 
Wanayo kweli 5g na kwasisi tunaolipia net ya unlimited bandle unapata mpaka 4.1MB/S kwenye 30mbps
 
Vodacom na Tigo mitandao yote hii inajisifu kwa kuongoza kuwa na kasi kubwa ya internet 5G. Kwa baadhi ya maeneo nchini na baadhi ya watu wamekwisha jaribu kuona Je! Yaliyomo yamo?

Tupe ripoti yako tafadhali.

Voda Angalau hawa tigo hata 5G haidetect
 
Back
Top Bottom