QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 698
kuna shida na mikasa katika maisha...!Nyumba ya vyumba 4 inauzwaje 30m?tuanzie hapo kwanza.
pia kuna nyingine zinakuwa na migogoro ya kifamilia
kuna shida na mikasa katika maisha...!Nyumba ya vyumba 4 inauzwaje 30m?tuanzie hapo kwanza.
Kwa hiyo unataka kupanga bei yako?Kwa sisi mafundi mmi hilo nalipinga kabisaaa. La sivyo hyo nyumba itakua imeibwa sehemu.
nikutumie kwa Bluetooth.Kwa hiyo unataka kupanga bei yako?
hiyo nyumba inatafutwa na mmiliki wake. inasemekana iliibwa huko Singida!!Kwa sisi mafundi mmi hilo nalipinga kabisaaa. La sivyo hyo nyumba itakua imeibwa sehemu.