chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 15,143
- 25,891
Jpm alisema kuandaa sherehe za Uhuru ni gharama kwa serikali,magari posho na mengine,akaahirisha sherehe
Leo sherehe ndogo kabisa ya kuwapa vyeo wanajeshi anaifanyia uwanja wa sheikh Amri Abeid NA watu wengi kweli wamealikwa,watu wameacha kazi zao katika enzi hii ya hapa kazi tu wamejaa uwanjani, ile hali ya kubana matumizi imekwisha?
Wana ccm wenzangu tunabadilika kwa kasi
Au zilikuwa mbwembwe