Kituo Cha Afya Usinge kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua, Mkoani Tabora, kimefanikiwa kufanya upasuaji wa dharura kwa wajawazito, ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu kilipoanza kutoa huduma za afya mwaka 2023.
Kituo hicho kinachohudumia zaidi ya wakazi elfu 69 wa Kata ya Usinge na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.