Generali Ulimwengu amesema wanaosema Mbowe amekaa sana Madarakani Hawajui historia Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa CCM kuanzia 1954 hadi 1990
Ulimwengu amewataka watu wasome historia
Generali...
Yanga kabakiza mechi 4.
Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.
Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.
Anatakiwa kupata sare mechi 1.
Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.
Matokeo ya jana sio...
Sitoelezea Sana kuhusu swala la msalaba siku ya Leo .
Ila Msalaba huwa unabeba nguvu ya kufatwa .
Hivyo haijalishi ni muislamu au Christian KIROHO unashauriwa kuvaa msalaba. Ili kuvuta watu...
Katika zama hizi za utandawazi, usafiri umekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunaweza kusafiri kwa ndege, treni, basi, gari, pikipiki, au hata kwa miguu. Hata hivyo, pamoja na...
Haichukui nafasi ya daktari lakini kusema ukweli Yanga wameanza kuonyesha matumaini. Huenda wakaingia robo fainali kwa kushinda mechi zote 3 zilizo baki huku ikitegemea na matokeo ya mechi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linamshikilia Neema Wikechi (21) mkazi wa sabasaba kwa kumkata mume wake Flowin Msigwa (27) sehemu za siri na kitu chenye ncha kali na kumsababishia maumivu makali...
Dira imeshirikisha sana vijana.. Natumia fursa hii kutangaza nipo kwenye ukarabati wa nyumba yangu
Hivi hadi kufikia 2050 kuna story gani haitaingia kwenye hii nyumba!?
.
Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.