Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hello Ni wakati sasa tunajifunza jinsi ya kutafuta loopholes kwenye ISP yeyote unayehitaji, katika makala hii tuenda kujifunza jinsi Gani tunaweza tumia udhaifu wa ISP na kupata free internet...
4 Reactions
16 Replies
321 Views
Generali Ulimwengu amesema wanaosema Mbowe amekaa sana Madarakani Hawajui historia Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa CCM kuanzia 1954 hadi 1990 Ulimwengu amewataka watu wasome historia Generali...
1 Reactions
7 Replies
29 Views
Waafrika wengi hasa watanzania wamekuwa wakiamini kwa muda mrefu kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina. Cha kushangaza hali zao za kiuchumi ziko vilevile miaka nenda rudi. Kama...
7 Reactions
46 Replies
221 Views
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke...
89 Reactions
360 Replies
9K Views
Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani...
3 Reactions
23 Replies
510 Views
Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic'...
1 Reactions
5 Replies
505 Views
Habari Niwe muwazi mimi nishamuelewa huyu Kijana.. mwanzo nilihisi upwiru tu nikamtamani ila Sasa najihisi kumpenda.. Tumeshakulana zaidi ya mara moja na namuhitaji zaidi.. Sasa niwaambie...
7 Reactions
86 Replies
559 Views
Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo. Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa. Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi...
7 Reactions
54 Replies
384 Views
Vijana jitahidi sana kufaya ubunifu ambao pamoja na kuburudisha jamani kaelimishe walau jambo lolote. katika group letu la ukoo imetupiwa hii clip nimesikitika sana. sioni ubunifu wowote na...
4 Reactions
22 Replies
390 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
125 Reactions
147K Replies
8M Views

FORUM STATS

Threads
1,922,118
Posts
51,610,489
Back
Top Bottom