Ushauri: Nataka niuze Passo ninunue pikipiki ya kuendea kwenye mihanjo

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,883
3,628
Hiki kipasso kinaenda km 12 kwa lita ya wese. Kutoka home hadi job ni km 12 yani km 24 kama ni kwenda na kurudi.

kwaiyo nahitaji kama lita mbili hivi kila siku au shilingi 6,514 (3,257×2) kwa siku au shilingi 195,420 (3,257×2×30) kwa mwezi kwa bei ya sasa ya wese.

Nataka niachane na hiki kipasso naona kinanimaliza tu nisije kubaki mifupa mitupu mtoto wa watu mwisho nishindwe kufanya vya maana kwa kulitumikia gari.

Nimeambiwa pikipiki inaenda km 28 adi 30 kwa lita. ina maana lita moja tu inanitosha kwenda na kurudi home kila siku. inamaana kwa siku nikiwa na 6,514 au sh 97,970 natoboa mwezi vizuri tu.

Wakuu nawakaribisha kutia neno kwenye hii idea yangu mpya.

Mnaionaje?
 
Back
Top Bottom