Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,204
4,760
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza.
 
Huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani .Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka jumosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza .
Mwalimu kalokola wa kemondo secondary au Kama ni yeye huyo Mwalimu mjanja mjanja ana bar yake so alitegemea hela itoke Jumamos ili jumapili awauzie bia walimu so hela ikotoka kesho hesabu zake zinamgomea namjua Sana kalokola ana gari yake Noah back then
 
Huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani .Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka jumosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza .
Mwambie tupo kwenye teuzi za chama chake pendwa, na wenye nchi ndo wameanza upyaaaaaa, kujua hatima ya mali asili zao
 
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani .Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka jumosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza .
Watanzania acheni kuendekeza na kupenda anasa huku mnalialia kama kondoo wapumbavu.

Hii nchi fursa ni nyingi sana kilimo, ufugaji na uvuvi pamoja na vibarua uchwara kwa bakheresa huko hasa ukiwa muislamu.

Fanyeni kazi msitegemee ajira na mishahara.

adriz
 
Back
Top Bottom