Maisha na Chuki

Mar 25, 2024
17
24
Wazima jamani!

Hivi hili suala la kuchukiana bila sababu ni kwa wanawake tu ama na Nyie wanaume mnakutana nalo? Unaenda sehemu ukiwasili tu kama wewe ndo jini mkata kamba! Ni kwamba chuki za ghafla zinaanza, ukijitathmini hakuna cha tofauti Umefanya.

Kwenye vitabu vya dini vimeandikwa kuwa hasadi (husda) zinaweza kupelekea vitendo kama hivi kutokea. Lakini inakuwaje mtu anakuonea hasadi wakati hata hafahamu maisha yako, ni lipi umebarikiwa ama lipi umenyimwa?

Twambie maoni yako juu ya hili na kama umewahi kukutana na tukio la hivi, kipi ulifanya?
 
Wazima jamani!
Hivi hili suala la kuchukiana bila sababu ni kwa wanawake tu ama na Nyie wanaume mnakutana nalo? Unaenda sehemu ukiwasili tu kama wewe ndo jini mkata kamba! Ni kwamba Chuki za ghafla zinaanza, ukijitathmini hakuna Cha tofauti Umefanya.
Kwenye vitabu vya dini vimeandikwa kuwa hasadi (husda) zinaweza kupelekea vitendo kama hivi kutokea. Lakini inakuwaje mtu anakuonea hasadi wakati hata hafahamu maisha yako, ni lipi umebarikiwa ama lipi umenyimwa? Twambie maoni yako juu ya hili na kama umewahi kukutana na tukio la hivi, kipi ulifanya?
Kuna vitu vingine huwezi kuviepuka Mkuu

Tuishi navyo tuu
 
Wewe unayeona watu wanakuchikia ndo una matatizo

Ntakuja kuelezea ili upone tatizo lako

Adui
Shetani
Husuda
Kijicho
Chuki

Haya mambo ni biashara za watu.

Ntaelezea mkuu hakuna anayekuchukia
 
Back
Top Bottom