Korea Kusini: Viwango vya Uzazi vyazidi kushuka. Hofu ya kutoweka kwa Taifa yaibuka

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,031
1,648
Viwango vya uzazi nchini humo (ambavyo tayari ni vya chini kabisa duniani) vimepungua tena, huku kukiwa na hofu ya "kutoweka kwa taifa", wakati ambao Serikali imekuwa ikitumia Mabilioni ya Dola kujaribu kubadili mwelekeo huu

Takwimu zimeonesha kulikuwa na upungufu wa 8% katika Viwango vya Uzazi Nchini humo mwaka 2023 ikilinganishwa na 2022, huku Wataalamu wakionya kuwa idadi ya watu inaweza kupungua kwa nusu ifikapo mwaka 2100

Sababu za Viwango vya Uzazi kupungua katika Nchini South Korea ambayo ina Watu takriban Milioni 51, zimetajwa kuwa ni changamoto za ajira, makazi, na malezi ya watoto

Wapenzi pia walitaja mzigo mkubwa wa kifedha kama kizuizi cha ndoa, ambayo inachukuliwa kama sharti la kuwa na Watoto

-

South Korea’s fertility rate – already the lowest in the world – has fallen yet again, amid fears of “national extinction”, an ongoing debate about how to reverse the trend, and how the country’s work culture and gender relations could be to blame.

Data from Statistics Korea showed on Wednesday that there had been an 8-percent decline in the country’s fertility rate in 2023 compared with the previous year, while experts have said that the country’s population of 51 million may halve by 2100 based on current rates.

South Korea’s government has been spending billions of dollars to try and reverse the trend, as the population continues to shrink.

The average number of babies a South Korean woman is expected to give birth to during her life fell to 0.72 from 0.78 in 2022, and previous projections estimate that this will fall even further, to 0.68 in 2024.

These levels are far below the 2.1 children needed to maintain a country’s population at its current level. The decline has been especially concentrated in the capital Seoul, where the 0.55 fertility rate was the lowest in the country.

As the country gears up to head to the polls in April, parties have focused on population decline in their campaigns, while the current government has promised to come up with “extraordinary measures” to tackle the situation.

A report from South Korea’s Central Bank showed that the root causes behind the country’s declining fertility rate include challenges around employment, housing, and childcare.

The government has tried some initiatives. More than 360 trillion won ($270bn) has already been spent in areas such as childcare subsidies since 2006, and parents are given a cash payment of two million won ($1,510) upon the birth of a child.

But for many South Korean women, a workaholic culture and ultra-competitive pressure in the workspace means that taking time out to have a baby is too much of a risk, in a country that already has one of the worst gender pay gaps in the Organisation for Economic Co-Operation and Development (OECD).

“Having a baby is on my list, but there’s windows for promotions and I don’t want to be passed over,” said Gwak Tae-hee, a 34-year-old junior manager at a Korean dairy product maker who has been married for three years.

Couples in South Korea also cited high financial burdens as a deterrent to marriage, which is seen as a prerequisite to having children in South Korea.

source: Aljazeera
 
Wasitafute sababu za kijinga .... Wakataze ushoga na usagaji.......
 
Ni swala la muda hatu huku kwetu miaka ijayo watu hawatakuwa tena na hamu ya kuwa na familia matatizo ndani ya familia ni mengi kuliko nje.
Changamoto ni kutokuwa na pesa za kujikimu, ndio zinafanya watu kushindwa kua na familia
 
Ukweli ni kwamba kadiri tunavyopeleka ulimwengu tunavyotaka kwa kufuata sayansi na teknolojjia, vivyio hivyo uwezekano wa kiumbe binadamu kusalia duniani unapungua.

Maisha ya sasa yamekuwa magumu pesa ndio kila kitu , kuipata ni shughuli watu kusaidiana napo hakuna kabisa kila mtu anataka maslahi na ule ubinadamu wa kale haupo kabisa.

Ajira ngumu kinoma .
 
Back
Top Bottom