dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. w0rM

    Ushauri: Ni muda sasa Serikali kuweka mpango mkakati wa kupendezesha Miji kwa majengo yenye rangi na mazingira yanayofanana

    Wakati Tanzania ikiendelea kujipambanua kuwa Nchi yenye maendeleo na mazingira mazuri ya kuishi, na Jiji lake la Dar es Salaam likijiandaa kuwa Jiji kubwa zaidi (lenye zaidi ya Wakaazi Milioni 10) ifikapo mwaka 2030, nadhani kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia kwa ajili ya maendeleo ya Dar es...
  2. ivanmark714

    Msaada wa mwongozo wa jinsi ya kufika Visiwa vya Comoro tokea Dar Es Salaam

    Habari Wana jukwaaa? Mimi ni mkazi wa dar es salaam Mwishoni mwa mwezi June ni matarajio yangu kufika visiwa vya COMORO nimeleta Uzi huu ili kusaidiwa kupata mwongozo jinsi ya kufika visiwa hivyo Yani nauli vigezo na masharti mpka kuingia visiwa hivyo kutokea hapa DAR ES SALAAM Ahsanteni...!!
  3. G

    SoC04 Namna Halmashauri za Dar es Salaam zinavyoweza kuongoza nchi katika kupunguza utegemezi wa mafuta, upungufu wa dola na kuhamia kwenye matumizi ya gesi

    Kwa takribani mwaka mmoja sasa nchi nyingi za Afrika zimeendelea kukabiliwa na upungufu wa fedha za kigeni, hasa dola, fedha zinazotumika katika uagizaji wa bidhaa mbalimbali. Sababu kubwa zinazotajwa na wataalamu ni kubadilika kwa sera za kifedha nchini Marekani, pamoja na kuongezeka kwa...
  4. LOLO KALOLO

    SoC04 Reducing Traffic Jams in Tanzania: A case of Dar es Salaam

    Traffic congestion is a major challenge in Dar es Salaam, Tanzania's largest and most economically significant city. With its rapid population growth and urbanization, the city's infrastructure struggles to keep pace with increasing vehicular traffic. To address this pressing issue, a...
  5. Shining Light

    Bashungwa reassures Dar es Salaam residents on ferry service improvements

    The Minister of Construction, Innocent Bashungwa, has reassured the residents of Dar es Salaam who use the ferry services in the Kigamboni-Magogoni area, addressing concerns about the services provided by the Agency of Technical and Electrical Services (TEMESA). He stated that the fears were...
  6. Influenza

    Kawe, Dar: Hatimaye Kituo cha Mafuta cha Lake Oil kilichokuwa karibu na makazi ya Watu na stendi ya daladala ya Tanganyika Packers chabomolewa

    Baada ya malalamiko ya muda mrefu ya Wakazi wa Kawe katika Wilaya ya Kinondoni, hatimaye Kituo cha Mafuta cha 'Lake Oil' kilichokuwa kimejengwa karibu kabisa na makazi ya watu kimeanza kubomolewa. Kituo hicho kilichokuwa karibu pia na stendi ya daladala ya Tanganyika Packers kilikuwa...
  7. ferucho lamborgini

    Maisha ya Dar es Salaam yamejaa anasa na starehe za kila namna

    Kipindi nasoma advance nilikuwa mla bata sana, o-level nilisoma seminary, kwahiyo ile kuja dar ni kama fisi kaachiwa bucha. Nilikuwa natoroka shule naingia sinza-africa sana kuna club ilikuwa inaitwa Ambiance hapo kulikuwa na malaya wenye mizigo hatari unaweza ukatokwa udenda, ukirudi kwa nyuma...
  8. cosmas peleka ramadhan

    Kutumia sponge kupika chapati ni salama kiasi gani kwa afya za walaji?

    Kumekuwa na tabia ambapo wapika chapati wengi mitaani hasa migahawa ya jioni hutumia sponge/vipande vya godoro kupika chapati. Je, bidhaa hiyo ni salama kwa kutumika kupikia chapati? Kama kuna Wataalamu wa Afya naomba kujibiwa ama ni uelewa wangu mdogo kuhusu usalama wa chakula na sponge hizo...
  9. Mohamed Said

    Udogoni Dar es Salaam 1960s

    UDOGONI DAR ES SALAAM 1960s Kila nipitapo Maktaba hukutana na picha zinazonikumbusha mengi. Picha hii alinipa Abdallah Mgambo miaka mingi ilioyopita. Ilipigwa kwenye picnic mwaka wa 1965. Kulia ni Adam Kingui, Abdallah Mgambo na Kleist Sykes. Hawa wote walikuwa wanafunzi wa sekondari. Adam...
  10. S

    Kwa mahitaji ya photoshoot wasiliana nami

    Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
  11. Mwanaumke wa mithali

    Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  12. GENTAMYCINE

    Kamanda Muliro jana alipewa Nishani ile ya Heshima Jeshi la Polisi kwakuwa anastahili au kwakuwa Tukio lilianyika tu Mkoa wake wa Dar es Salaam?

    Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao nawakubali hasa Kiutendaji wao basi wale wa Tabora, Kigoma, Arusha, Rukwa, Morogoro, Lindi na Kwetu...
  13. F

    Dar es Salaam bila tatizo la foleni 2030 inawezekana

    Foleni!! Foleni! Huu ni wimbo miaka nenda Rudi kwa miaka sas kwa jiji la Dar es salaam, japo jitihada mbali mbali zimefanywa na vingozi mbali mbali kujenga miundombinu kwajili ya ktatua ama kuondoa tatizo hili lakini imeshindikana. Lakini viko Vitu tunaweza kufanya nikasaidia kwa miaka ya...
  14. 21 JuLy

    USHAURI KWA SERIKALI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KUHUSU KUBADILISHA MATUMIZI KWA STAND YA MABUS MAGUFULI MBEZI.

    Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la...
  15. MR VICTOR KAPESA

    MAGARI YAENDAYO KWA KASI PIA YAZINGATIWE

    Kuhusu usafiri wa haraka nchini Tanzania, kuna jitihada za kuboresha miundombinu na huduma za usafiri, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni moja ya mikakati inayolenga kupunguza msongamano wa trafiki na kuboresha usafiri mijini. Hata hivyo, bado kuna...
  16. papag

    Msaada: Usafari wa Dar-Miono unapatikana wapi?

    Habari Wakuu? Nategemea kwenda Miono. Ila sijui usafiri wake kwa jiji la Dar unapatikana wapi? Na nauli ni kiasi gani? Ahsante sana kwa msaada wenu.
  17. B

    Dar es salaam Mecca ya vyama vya ukombozi, pia jiji la mapigano baina ya vyama hasimu vya ukombozi Afrika ya Kusini

    MAKALA SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS https://m.youtube.com/watch?v=k9CSA0eN00s Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika siyo nchi mchanganyiko...
  18. Mr Confidential

    Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA?

    Wakuu, Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA? Kama hawana, what is the option kwa mtu anayeishi kanda ya ziwa kusoma hii course (MBA -Finance) NAkaribisha ushauri wowote kuhusu hii kozi na chuo.
  19. Huihui2

    Bandari ya Dar es salaam Kuipiku Mombasa katika biashara ya kubeba shehena

    Citizenhttps://www.ke.co Kioko Nyamasyo on Monday, 6 May 2024 Wakati Kenya ikiendelea kuongoza kwenye ushindani wa biashara ya bandari katika Afrika Mashariki, kuna tishio kubwa kutoka Tanzania kutokana na Bandari ya Dar es Salaam kuongeza mizigo mara dufu katika muongo mmoja uliopita. Hili...
  20. Kiboko ya Jiwe

    Bunge la JMT halina manufaa yoyote kwa Watanzania. Lifutwe, ofisi ya DED ichukue majukumu ya wabunge

    Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika. Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga. Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa...
Back
Top Bottom