we umetumwa,unawezaje kuingiza ukashindwa kutoa,ni majibu niliyopewa customer care toka tigo!!!!!!!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,305
13,265
naombeni anaye jua jinsi ya kujiondoa kwenye huduma ya sh.450 ya tigo extreme pack ambayo unapewa dk.15,sms 100,na 50mb,kila ujiungapo,kwani kwa sasa mimi nipo sehemu ambayo tigo inashika kwa kuvizia,sasa sijui imekuwaje kila siku wao wananiunganisha hata mala 3! na kama hakuna pesa wananikopesha ukiweka pesa tu wanachukua,wakati huku nilipo hata siku mbili zinaweza pita hujapata mtandao,wao wanakata tu!zamani kwenye menu yao kulikuwa na jinsi ya kujitoa ila kwa sasa haionekani!Na inakuwaje we una muunganishia mtu huduma ambayo haiitaji huku c kulazimishana?Juzi nikapiga huduma kwa wateja akapokea mwanamke,nikamueleza tatizo langu alichonijibu ni kuwa WE UMETUMWA NINI???????????ALIYEKUAMBIA UJIUNGE NI NANI?UKIWEZA KUINGIZA UNASHINDWAJE KUTOA???AKAKATA SIMU,SASA JAMANI NI MAJIBU KWELI KUTOKA CUSTOMER CARE KWELIIIIII!!!!!!!!!!!!!!!NA HIKI KIBURI WANAKITOA WAPI?NA HATA JINA HAKUTAJA AMBACHO HUWA C KAWAIDA KWANI UKIMKUTA M2 AMBAYE KWELI NI TAALUMA YAKE KITU CHA KWANZA NI KUTAJA JINA LAKE KISHA ANAKUULIZA LAKO,YAANI HUYU NI KAMA MALAYA FULANI HIVI,NA HAYA NI MATATIZO YA KUPEANA KAZI KWA KUVUANA CHUPI,WATU WENYE TAALUMA HIYO WAKO MTAANI.WADAU NAOMBA MWENYE KUJUA JINSI YA KUJIONDOA NA HUDUMA HII ANIAMBIE,
 
hahaa haha! Afu lazima atakuwa demu..maademu wa customer care uwa wana stress sana sijui ndo madhara ya kupata kazi kwa yale mambo yetu.....all in all tigo ni mtandao hovyo i ever see mkuu..
 
tuma stop kwenda ile namba ya kujiungia

Hee!nimeandika,stop kwenda namba 15509,badala ya kunitoa wanataka kuniunganisha tena!kwani kwenye simu nina 400,wanani2mia sms inayosema"samahani hauna salio la kutosha kulipia huduma hii kwa sasa.tafadhari ongeza salio kwanza!unaona uhuni huu,we unataka kujitoa wao wanataka kukuunganisha tena!
 
Majibu yake yenyewe yanaonyesha anaingizwa sana ndio maana anasema utashindwaje kutoa baada ya kuingiza?
Kwa kweli tigo mimi pia wameishanikwaza. Niliweka pesa sh 50,000 kwenye akaunti ya tigopesa kwa lengo la kumtumia mtu. Baada ya kuweka nikajaribu kutuma kumbe nimesahau password. Nikajaribu namba kadhaa bila mafanikio nikaamua kwenda ofisini kwao (baada ya kupiga customer care bila mafanikio) wakaniambia niwape photocopy ya kitambulisho nikawapa ilikuwa jumamosi wakasema jumatatu nitapata msg yenye maelekezo. Hiyo msg haikutokea. Kesho yake nikafanikiwa kuwasiliana na customer care. Nikawaelekeza wakasema nisubiri msg ya jinsi ya kutengeneza password. Sikupata hiyo msg mbali na ile ya kuniambia 'ombi na .... linashughulikiwa'. Nikawapigia tena mara 3, majibu ni yale yale na hakuna msg. Sasa ni wiki 3 zimepita siwezi kutuma hiyo hela wala kuitoa! Nataka niwaambie kuwa kama suala la password limeshindikana niwape namba ya mtu mwingine wazihamishie kwake ili nizichukue. Ndio USANII wa Tigo!
 
naombeni anaye jua jinsi ya kujiondoa kwenye huduma ya sh.450 ya tigo extreme pack ambayo unapewa dk.15,sms 100,na 50mb,kila ujiungapo,kwani kwa sasa mimi nipo sehemu ambayo tigo inashika kwa kuvizia,sasa sijui imekuwaje kila siku wao wananiunganisha hata mala 3! na kama hakuna pesa wananikopesha ukiweka pesa tu wanachukua,wakati huku nilipo hata siku mbili zinaweza pita hujapata mtandao,wao wanakata tu!zamani kwenye menu yao kulikuwa na jinsi ya kujitoa ila kwa sasa haionekani!Na inakuwaje we una muunganishia mtu huduma ambayo haiitaji huku c kulazimishana?Juzi nikapiga huduma kwa wateja akapokea mwanamke,nikamueleza tatizo langu alichonijibu ni kuwa WE UMETUMWA NINI???????????ALIYEKUAMBIA UJIUNGE NI NANI?UKIWEZA KUINGIZA UNASHINDWAJE KUTOA???AKAKATA SIMU,SASA JAMANI NI MAJIBU KWELI KUTOKA CUSTOMER CARE KWELIIIIII!!!!!!!!!!!!!!!NA HIKI KIBURI WANAKITOA WAPI?NA HATA JINA HAKUTAJA AMBACHO HUWA C KAWAIDA KWANI UKIMKUTA M2 AMBAYE KWELI NI TAALUMA YAKE KITU CHA KWANZA NI KUTAJA JINA LAKE KISHA ANAKUULIZA LAKO,YAANI HUYU NI KAMA MALAYA FULANI HIVI,NA HAYA NI MATATIZO YA KUPEANA KAZI KWA KUVUANA CHUPI,WATU WENYE TAALUMA HIYO WAKO MTAANI.WADAU NAOMBA MWENYE KUJUA JINSI YA KUJIONDOA NA HUDUMA HII ANIAMBIE,

Unaweza kufuata taratibu za kupeleka malalamiko yako Serikalini, kupitia TCRA. Nenda tafuta link ya Complaints.
 
fanya hivi bonyeza *148*01# halafu ingia sehemu ya Xtreme sms halafu bonyeza 00 iliuendelee mbele kisha kuna neno deact ambayo ni namba 5 iliujitoe niivo tu..

kuelewesha kidogo sipo poa kiivo nadhani umenipata..
 
Zamani ndio ilikuwa hivyo,kwa sasa hakuna hiyo option!ukienda ni maelekezo ya kujiunga na c kujitoa!!
 
fanya hivi bonyeza *148*01# halafu ingia sehemu ya Xtreme sms halafu bonyeza 00 iliuendelee mbele kisha kuna neno deact ambayo ni namba 5 iliujitoe niivo tu..

kuelewesha kidogo sipo poa kiivo nadhani umenipata..
Au anaweza kuandika neno DEACT kwenda 15166
 
au tembelea ukurasa wao wa facebook Tigo Tanzania pale jamaa wana full respect na wako faster kwenye kureply complain kuliko hata telephone customer service.
 
Au anaweza kuandika neno DEACT kwenda 15166
thanx mkuu,nime2ma neno STOP kwenda 15166,nimefanikiwa wamenitumia sms,kuwa nimalizie kifurushi changu kwanza'ningekugongea like sema natumia simu.wa2 kama nyie ndio mnaweza kusaidia watu,sio hao malaya,wanapata kazi kwa kuvua pichu,thanx ndugu,hapa jf ni kama makao makuu ya google.
 
kwani hujamshika jina maana lazima atataja jina lake kama unalojina lake litume facebook au customercare@tigo.co.tz ataipata fresh yake..
 
Another reason to hate them. Huduma mbov nilishajiunga Megabox yao na DROID yangu nlijuta, yote ilifia mle
 
Jamaa hyo call center inamatatizo vibaya,nilipata shda nikafuatilia wiki 2,pale ofcn kwao wakaniambia cal center yao ni dhahama hata wao wameshasema lkn kiongozi wa hyo idara haonekani kujari inawezekana ndy anayewapa kazi kwa kuwavua pichu!.
 
Back
Top Bottom