father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 835
- 642
wakuu mmekuwa mkinifurahisha sana ka michango yenu mbalimbali hivyo na mimi nimeona si vibaya kuongeza nguvu.
nashukuru sana bujibuji,sijui dada au kaka?
nashukuru sana bujibuji,sijui dada au kaka?
karibu' handsome'
usome na sheria za JF kama zilivyobandikwa na Paka Jimmy
karibu' handsome'
usome na sheria za JF kama zilivyobandikwa na Paka Jimmy
ooohh gooosh!..Is that so?...Umehisi kutupwa?....Hujalipia bili ya DSTV na FUEL nini?...MWAGA FEZA, TUMIA FEDHA IKUZOWEE!kikija kipya, mademu wetu wa siku zote wanatutupa bondeni... anyway karibu mkuu
ooohh gooosh!..Is that so?...Umehisi kutupwa?....Hujalipia bili ya DSTV na FUEL nini?...MWAGA FEZA, TUMIA FEDHA IKUZOWEE!