Special thread kwa Nguli

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Takribani mwezi sasa umepita Nguli sijakuona iwa unachangamsha jukwaa pia hata meza kwa kujivinjari na Nguli kubwa vp mzee mabox yamekuelemea?
Masa jana kasema amekuacha Zenji umenogewa na pweza zenji? Maana wengi wakipata totoz za zenji husahau kabisa Bara.
Nguli upo wapi sema kama mabox yamekuelemea? Vivyo Nguli nakukumbusha tarehe 13 February sio mbali sana kutoka leo niagize angalau Kanzu niipokee kwenye Sea Star II.
Uthibitisho wako kama upo jukwaani kama guest gonga tu senks ili tujue umenogewa huko aliko kuacha Masa.
 
......hahahaha!
umeniwahi wewe
 
Amenambia anaandaa mashairi ya 13feb 2010, hataki usumbufu!
Ataonekana hapa mwisho wa wiki...hata simu amezima!
 
nguli upo wapiiiii......?
jitokezeeeee mkuu nguli

CHUDA RAHAAAAAA!
 
Nguli amejificha ufukweni anakula miraha.
Hahaha kumbe anaumiza kichwa kwa mashairi
 
Takribani mwezi sasa umepita Nguli sijakuona iwa unachangamsha jukwaa pia hata meza kwa kujivinjari na Nguli kubwa vp mzee mabox yamekuelemea?
Masa jana kasema amekuacha Zenji umenogewa na pweza zenji? Maana wengi wakipata totoz za zenji husahau kabisa Bara.
Nguli upo wapi sema kama mabox yamekuelemea? Vivyo Nguli nakukumbusha tarehe 13 February sio mbali sana kutoka leo niagize angalau Kanzu niipokee kwenye Sea Star II.
Uthibitisho wako kama upo jukwaani kama guest gonga tu senks ili tujue umenogewa huko aliko kuacha Masa.

Ha ha ha! mazee nashukuru kwa kunikumbuka nipo. Ni kweli niko vacation na sio kwamba naingia kama guest la hasha nikubanwa na mrs Nguli. Na little Nguli na kuna albam tunafanya na Kloroquin itatoka muda sio mrefu. Producer wetu ni Radical.
 
misd you!!!!!!!!!!!! kweli mwenzetu unakula gudtime duh!!!
 
Ha ha ha! mazee nashukuru kwa kunikumbuka nipo. Ni kweli niko vacation na sio kwamba naingia kama guest la hasha nikubanwa na mrs Nguli. Na little Nguli na kuna albam tunafanya na Kloroquin itatoka muda sio mrefu. Producer wetu ni Radical.

Hahahaha dah big up mkuu Nguli Xpin amekuandalia Manguli makubwa makubwa kibao.
Tunasubili album hiyo kwa hamu sijui unajifua Zenji?
 
Ha ha ha! mazee nashukuru kwa kunikumbuka nipo. Ni kweli niko vacation na sio kwamba naingia kama guest la hasha nikubanwa na mrs Nguli. Na little Nguli na kuna albam tunafanya na Kloroquin itatoka muda sio mrefu. Producer wetu ni Radical.
at laaaaaaaaaaaaaaaaast nguli amejitokeza,lolz
 
Maxshimba anakutafuta umsaidie ramani ya kanisa lake anajenga Ubungo karibu na Tanesco tumsaidie mwenzetu neno la Mungu liendelee.
 
mmmh Nguli MAXSHIMBA ndo mchungaji mwenyewe au atakodisha mchungaji???
 
Back
Top Bottom