Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
Waungwana, mimi nachangiaga topic tu na nilikuwa sijajua namna ya kupost topic yoyote! ila leo nimebahatisha, sasa wanandugu naomba mnielekeze namna ya ku-attach picha, yaani hapa ndo ishu kwangu, mimi natumia sgh-d780, samsung. tafadhali msinicheke nielekezeni. mkinisaidia kabla ya saa sita.