Mashoga sasa kufunga ndoa kanisani Sweden

Status
Not open for further replies.

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
12,894
15,636
Church of Sweden says yes to gay marriage

The Synod of the Lutheran Church of Sweden has come down in favour of church weddings for homosexuals in a vote held on Thursday morning.
The decision, which is based on a proposal from the church’s governing board, means that the Church of Sweden will conduct wedding ceremonies for both heterosexual and homosexual couples.

The proposal was approved by 176 of 249 voting members.

The decision comes just three days after the 30th anniversary of the date when homosexuality stopped being classified as a disease in Sweden.

“The Synod’s decision takes a stance in favour of an inclusive view of people. Regardless of whether one is religious or not, this affects the entire social climate and the view of people’s equal value,” Åsa Regnér, head of the Swedish Association for Sexuality Education (RFSU) - the country's largest gay rights group, said in a statement.

In June, the church board took the first step towards permitting same-sex marriages by submitting a petition to the Church of Sweden Synod – the church's highest decision-making body.

The board proposed the church continue to perform wedding ceremonies following new legislation which came into force on May 1st and grants same-sex couples in Sweden the same legal marriage status as heterosexuals.

Current church regulations will likely continue to apply in practice, with some alterations, such as replacing “man and wife” with “lawfully wedded spouses” when a homosexual couple is married.

Individual pastors would also still be able to refuse to perform marriage ceremonies for same-sex couples.

Since 2007, the Church of Sweden, which counts around 74 percent of Swedes as members, has offered gays a religious blessing of their union.

The ruling by the Synod, which has 251 delegates - two of which were absent from Thursday's vote, puts Sweden among the first countries in the world to allow gays to marry in a major church.

Representatives from the Catholic and Orthodox churches in Sweden, however, were disappointed by Thursday’s decision.

“It is with great sorry that we receive news that the Church of Sweden’s Synod has today decided to wed same-sex couples that it will be referred to as marriage. This is a step backwards, not only from Christian tradition, but also from all of the major world’s religions views of what marriage is,” write Vicar Fredrik Emanuelson of the Catholic Church and Father Misha Jaksic, coordinator of the family of Orthodox Churches at the Christian Council of Sweden (CCS), in a joint statement.

“We don’t wed same-sex couples in our churches and faith communities because doing so stands in clear opposition to the church’s tradition and to our entire view of creation.”

In moving ahead with the decision to perform same-sex marriages, the Church of Sweden also ignored concerns expressed earlier this year by the Church of England in a strongly worded letter to Swedish archbishop Anders Wejryd that the move could lead to “an impairment of the relationships between the churches”.

Church of England spokesperson Steve Jenkins confirmed that relations between the two churches may be headed for a turbulent phase in the wake of the decision.

“Those concerns remain,” he told The Local, referring to the letter from English bishops Christopher Hill and John Hind.

He added that he didn’t know of any plans by the English Church to issue a formal statement in response to the Church of Sweden’s decision.

TT/The Local (news@thelocal.se/08 656 6518)
 
...kutetea mashoga doesnt mean mimi ni shoga ni urofa tuu unakusumbua wewe,hata interracial relationship zilikuwa illegal under the law (in US) na watu walienda jela kwa hizo discriminatory law na basis ya hiyo law eti it was "UNNATURAL",mashoga wapo walikuwepo na wataendelea kuwepo sasa kwanini kuwabagua kwa sababu ya imani ambazo hazina proof yeyote,generation ya watu kama wewe mngetangulia mtu mweusi bado angekuwa anakaa behind the bus
 
Safi,wapeni haki zao hakuna haja ya kuwabagua kwa sababu tuu ni mashoga!

Duh ... hivi vitu vingine wala huhitaji kuuliza mtu kama yuko serious ama lah!coz hata kwa utani havifai kuvifanya .... Sio mzima mjomba wewe!!
 
koba punga, kwenye biblia sodoma na gomora hivi vitu ni against God teachings weye koba unahalalisha, koba lazima mtoto wa watu.
 
Naona deen imevamiwa na mashoga sasa!
Mwisho watabanjuana makanisani wakitoka hapo wanachoma bible.
 
Nyie tukaneni na mniite punga mnavyotaka ila mimi sio punga na sioni tatizo lolote kwanini wanyimwe haki wanazostahili,ningekuwa na uwezo ningewapa haki zao zote na kuwapa protection under the from haters kama nyie!
 
Nyie tukaneni na mniite punga mnavyotaka ila mimi sio punga na sioni tatizo lolote kwanini wanyimwe haki wanazostahili,ningekuwa na uwezo ningewapa haki zao zote na kuwapa protection under the from haters kama nyie!

Ungewapa haki zao kwa vile ni mabwabwa wenzako. Unatia aibu Koba....kwa nini usibadili jina na kujiita Kopa?
 
Nyie tukaneni na mniite punga mnavyotaka ila mimi sio punga na sioni tatizo lolote kwanini wanyimwe haki wanazostahili,ningekuwa na uwezo ningewapa haki zao zote na kuwapa protection under the from haters kama nyie!

Nawewe tunakupa haki yakusema utakayo.
 
Nabishana na marofa tuu humu,ila Historically haki haipewi bure kwa yeyote,hawa ni party of our society na wapo kila kona hii dunia...kama slavery ilienda for hundrelds of yrs na watu walikufa kwa ajiri ya kuipinga,sitaona ajabu hawa mashoga nao one day watashinda vita yao,na mnao tumia dini kumbukeni hata kwenye hizo books zenu slavery ilikuwa legit ingawaje kwa sasa its unheard mtu kusuggest ule ushenzi
 
Sikujua kuwa huna maadili kiasi hicho!

Mama ni mtu ninayemheshimu sana na siwezi kamwe kutumia lugha za ajabu ajabu kwa mama, Lakini kwa vile somo la maadili ilipata sifuri, ndio maana unaweza ku-support mashoga na kutamka maneno ya ajabu dhidi ya mama ya mtu!!

Anyway hata hivyo nimekusamehe kwa sababu hujui usemayo
 
Hilo kanisa nalooooooooooooooooooo! very boring?? akh, upuuzi tu huu
 
hapo hata mimi nimechoka,lakini wenyewe waswede unadhani wanajali hilo?aah wala hawana habari kabsaaa,hata wewe ukitoa hoja ya kulaumu ushoga wanakushangaa tu,mashoga hapa wana sikukuu yao na watu hawaendi makazini na utaona mabasi yote mjini yanapeperusha bendera ukiuliza vipi?unaambiwa sikukuu ya ma GAY!kinyaa
 
Safi,wapeni haki zao hakuna haja ya kuwabagua kwa sababu tuu ni mashoga!
e bwana na wewe unapumuliwa kisogoni?hatukuelewi mpaka ututhibitishie maana kauli yako hii ina walakini
 
e bwana na wewe unapumuliwa kisogoni?hatukuelewi mpaka ututhibitishie maana kauli yako hii ina walakini

...wewe acha urofa,kutetea mashoga sio lazima uwe shoga,hivi nyie watu mnaishi wapi maana mnaonekana bado mnaishi kwenye ujima, hata Obama anawatetea sana na ameanza reverse ya sheria zinazowakandamiza
 
Sikujua kuwa huna maadili kiasi hicho!

Mama ni mtu ninayemheshimu sana na siwezi kamwe kutumia lugha za ajabu ajabu kwa mama, Lakini kwa vile somo la maadili ilipata sifuri, ndio maana unaweza ku-support mashoga na kutamka maneno ya ajabu dhidi ya mama ya mtu!!

Anyway hata hivyo nimekusamehe kwa sababu hujui usemayo

...ondoa urofa wako!
 
http://www.al-fatiha.org/

Al-Fatiha

Mission Statement

The Al-Fatiha Foundation is an international organization dedicated to Muslims who are lesbian, gay, bisexual, and trasngendered, those questioning their sexual orientation or gender identity, and their friends. Al-Fatiha's goal is to provide a safe space and a forum for LGBTQ Muslims to address issues of common concern, share individual experiences, and institutional resources. The Al-Fatiha Foundation aims to support LGBTQ Muslims in reconciling their sexual orientation or gender identity with Islam. Al-Fatiha promotes the Islamic notions of social justice, peace, and tolerance through its work, to bring all closer to a world that is free from injustice, prejudice, and discrimination.

Goals and Objectives

Support Muslims who self-identify as lesbian, gay, bisexual, transgender, and those who are questioning their sexual orientation or gender identity.

Provide a supportive and understanding environment for LGBTQ Muslims who are trying to reconcile their sexuality or gender identity with Islam.

Empower LGBTQ Muslims by creating safe spaces to share individual experiences, advocating on their behalf in national and international forums, and providing information about institutional resources.

Foster spirituality among LGBTQ Muslims.

Encourage dialogue with the larger Muslim community around issues of sexuality and gender.

The Al-Fatiha Foundation aims to accomplish its mission, goals, and objectives by:

Establishing local support & discussion groups for LGBTQ Muslims in the U.S. and abroad.

Holding regional, North American, and international meetings.

Outreach on the internet.

Past, Present & Future of the Foundation
 
Kumbe jamani hili tatizo ni kubwa limevamia kila aina ya jamii duniani. Nilidhani ni waanglikana wa US tu na yule askofu wao shoga, kumbe sasa na waluteri wa Sweden, na kuna hiyo Al-Fatiha ya waislamu nk, duh! Balaa kubwa.

Nadhani shetani amedhamiria kushinda vita hii! Kisa cha haya mambo kuruhusiwa hadi makanisani kinaanza na kanisa lenyewe kuwa limejaa mashoga, kwa hiyo ukifika muda wa kupigia kura ishu kama hiyo, unashangaa inapitishwa maana ni wenyewe wamejazana humo ndani! Angalao waislamu sijawasikia wakiruhusu masheikh wao kufungisha ndoa za mashoga, lakini kama nao waislamu wakizubaa hadi hiyo Al-Fatiha ikapata members kwenye nafasi za maamuzi, tusishangae kusikia nao pia wameruhusu!

Labda tungefufua zile dini zetu za jadi zingefaa zaidi, hakuna kufanya kitu hadi mizimu iulizwe. Mishoga yote ingegeuka kenge!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom