Kupata sponsorship

joel amani

Senior Member
Nov 22, 2011
100
8
jamani naombeni kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kutafuta na kupata sponsorship katika vyuo vya nje ya nchi kwa ajili ya undergraduate programmes,nilimaliza form 6 mwaka 2006 nimeapply mara 4 hapa tanzania lakini sikuwa kubahatika kupata mkopo na sina uwezo wa kujisomesha na mwaka huu nimekosa mkopo lakini chuo nimepata arusha mount meru,nina div III pts 13 HGE,nimeona nijaribu kutafuta wadhamini nje mana naumia kuona wenzangu wanaingia chuo mimi naishia mtaani na umri unazidi kwenda,mnisaidie nifanye nin
 
Sio kwa kukukatisha tamaa lakini kuna vitu viwili vinavyokukwamisha.
1 miaka uliyokaa kijiweni ni mingi
2 passmark zako sio nzuri
sina hakika sana na sababu ya tatu ya kuwa arts subjects hazina priority kama sayansi.
Ushauri wangu, google uone scholarships zilizopo. Angalia pia hapa
http://clicks.aweber.com/y/ct/?l=L6T0x&m=Ik9M7d7BOlWHMG&b=uzJjiI_0Yz.dd99th85QfA

google pia abas katogo ama somebody nkulila huwa wana web za updates. Unaweza kutuma email kwa admin@scholarship-positions.com ili wakupe updates.
Meanwhile, jaribu kuangalia uwezekano wa kupata admission institute of judiciary administration, nadhani ada zao ni ndogo na huwa kuwa msaada kiasi.
Kila la kheri
 
Ungejaribu pia kuangalia namna ya kufanya labda diploma au certificate,kwenye vyuo kama veta au vya aina hiyo,then ukipata kazi unaweza kujaribu kujiendeleza taratibu.
 
Back
Top Bottom