ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 927
Ikulu Mawasiliano: Blogu ina milikiwa na nani???????
Inajieleza wazi tu kama ifutavyo kwa kimpombo:
"This blog is operated by THE DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA. Its objective is to communicate with stakeholders in the most userfriendly and ordinary manner. It seeks to promote presidential activities, invite comments, questions or concerns from stakeholders. Feel free to communicate in either Swahili or English, or just browse through to know more about your President, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete"
HAta hivyo, inaonekana, IKULU yetu pia ina shughulika na WAMA (Shirika lisilo la Kiserikali). Kama unavyoweza kujionea kwenye link hii ya Februari 2009, http://mawasilianoikulu.blogspot.com/2009/02/mama-kikwete-amkaribisha-mke-wa-rais-wa.html
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimkaribisha mke wa Rais wa Uturuki Bi.Hayrunnisa Gul katika ofisi zake za WAMA(Wanawake na Maendeleo) jijini Dar esSalaam leo.Baadaye Mama Kikwete na mgeni wake walibadilishana zawadi na kufanya mazungumzo kuhusu WAMA na shughuli za maendeleo.

HII KURUGENZI YA MAWASILIANO IKULU SIJUI KAMA INAJUA INACHOFANYA: Tembelea wavuti ya Taifa www.tanzania.go.tz hapo utakuta madudu tu,....Taarifa mpya (current news) ni "Key Note Address ya Mhe. Ya Novemba, 2009). Hii site ndo inaunganisha pia Wizara na Idara mbalimbali za Serikali. Ukienda , Hata hivyo, uwezi kupata moja kwa moja link ya ofisi ya Makamu wa Raisi, na sijui kama hiyo wavuti inafanya kazi!.
Kupitia hii wavuti nyeti ya Taifa, ukitaka kujua "how serious we are", nenda kwenye wavuti ya ofisi ya Mhe. Waziri Mkuu wetu, kwa kuclick kwenye "Ministries" kisha angalia hapo "Current News" , inasoma Hotuba ya Mhe. Waziri Mkuu ya Tarehe 28 Septemba, 2009......ETI, siku zote hakuna mpya????? sijagusa kwenye tofuti za Wizara na Idara huko itakuwa aibu tupu! japo kuna maafisa (graduates) wameajiri Serikalini na wanakula Bata kwa vyeo vya "Maafisa Habari " au "Waatalamu wa Mawasiliano (IT officers)"
HATUNA JIPYA PAMOJA NA KUTUMIA FEDHA NYINGI ZA TAIFA LETU KUWASOMESHA WATAALAMU HAILEWEKI WANAFANYA NINI!.
Katika kujaribu kutafuta kama kuna tovuti kwa jina la "ikulu" matokeo yanachanganya zaidi, sina shaka haitumiki ......inaonekana "domain name" ikulu.go.tz ipo lakini maelezo yake ni haya:
"ikulu.go.tz is a domain controlled by two nameservers at afsat.com. They are on different IP networks. Incoming mail for ikulu.go.tz is handled by two mailservers on different IP networks. ikulu.go.tz has one IP number. mail.ikulu.go.tz point to the same IP. cbe.ac.tz and konyagi.co.tz share both nameservers and mailservers with this domain. tbl.co.tz, tpc.co.tz, afsat.com, tdl.co.tz, kpmg.co.tz and at least four other hosts share nameservers with this domain. dar1.afsat.com share mailservers with this domain. mail.ikulu.go.tz are subdomains to this hostname. go.tz is a domain controlled by six nameservers. All of them are on different IP networks. ikulu.go.tz is hosted on a server in Satellite Provider even though the hostname implies Tanzania"
Source: http://www.robtex.com/dns/ikulu.go.tz.html
Source: http://www.robtex.com/dns/ikulu.go.tz.html