Chadema kata ya kirumba balaa

PRISCUS JR

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
448
236
Kampeni za udiwani zinazoendelea kata mbalimbali nchini zimezidi kupamba moto, kuku Mwanza CDM wamewadhihirishia magamba kuwa hawana lolote. awali magamba wamefanya hujuma cdm wasiutumie uwanja wa magomeni hivyo imesababisha cdm kupeleka mkutano wao eneo la kabuhoro kirumba, ni mbali na pafinyu lakini watu hawakujali wamekuja wa kutosha. natumia simu wakuu. pata picha hiyoView attachment 49555View attachment 49556View attachment 49557View attachment 49558
 
CCM walichinja ng'ombe Kirumba kwenye birthday yao...Lakini watu wa Mwanza hawakula..na walikuwa wanahusisha na imani za kishirikina kuwa wakizila tu zile nyama wataipenda CCM ilibidi watu wasombwe kwa malori toka vijijini ili waje wazinusuru nyama zisimwagwe.
 
Back
Top Bottom