Beach plots for sale at mbweni beach

Ngoja kwanza,
ni plot moja au plots nyingi?
na acre 15 itaitwaje plot? si shamba sasa hilo?
Ni Beach plot kwamba inapakana na bahari? au kuna mashamba/viwanja kisha ndo bahari?
 
Kuuna hadithi ya mtu aliuziwa kiwanja beach, baadae kuja hakukiona, bali aliona bahari ikiwa imejaa. Mkuu are you serious about these plots? Are you selling land plots or the beach?
 
Hicho ni kiwanja cha ukweli.kina Hati miliki. Kimetolewa na widhara ya ardhi na makaazi. Karibu ukione na ufanye uhakiki kabla ya kukilipia
 
kuweni makini na hizi plot mana sheria inataka metre 60 ziachwe kutoka kingo za bahari ama mto sasa kwa kuangalia naona hizi ni kingo za bahari...unaweza nunua kumbe mkenge na waziri wa ardhi sasa hana utani na mtu inakula kwako...
 
mkuu kitomai, hivyo viwanja vipo mita ngapi toka baharini? ni vya kichanga tupo ama vipo vilivyopo juu ya mawe? possible to pay u like 10 m baada ya miezi miwili kumalizia???
 
doh !
25m for 1acre ?
wachaa wee !!

Thats tooooooo expensive compared to the location its so far.....!

I have 1m for 1 acre.... PM me !
 
It is not expensive as you claim. Nadhani haujafanya utafiti wa kutosha ukajua bei halisi ya viwanja vya mbweni. Jaribu hata kuona katika matangazo mengine ya biashara itakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom