Jukwaa la Historia

  • Sticky
Leo ni miaka 23 tangu Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine atutoke ghafla na kuacha simanzi na wingu la huzuni. Siku ile ya machozi na majonzi imebakia katika kumbukumbu za Watanzania wengi kama...
19 Reactions
684 Replies
156K Views
  • Sticky
Mengi yamesemwa kuhusu Mzee wetu huyu na sisi tuliokuwa shuleni wakati ule tulilishwa kile ambacho naamini ni sumu. Wakubwa tuelimisheni ukweli kuhusu Mzee huyu. Oscar Kambona Kambona, the man...
23 Reactions
1K Replies
283K Views
  • Sticky
Mwalimu (RIP)Baba Wa Taifa Hili, na Mkewe Mama Maria Wakuu Wote Jamii Forums, Heshima mbele! Katika hiki kipindi cha mapumziko nimeona sio vibaya tukijikumbusha historia yetu ya taifa katika...
19 Reactions
2K Replies
489K Views
  • Sticky
Watu wanasahau tu ila Museveni ni mtu mbaya sana! Inadaiwa kuwa sumu iliyopaswa imuue moja kwa moja baada ya kutoka kwenye ziara pale Kilwa Road kwenye sabasaba, hatimaye ikammaliza daktari wa...
88 Reactions
2K Replies
517K Views
  • Sticky
Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji...
38 Reactions
897 Replies
227K Views
  • Sticky
Habari za kuaminika zinadai kuwa Kiongozi Mkuu wa Libya Muammar Gaddafi amekalia kuti kavu, habari zinasema kuwa hali iliyofikia hairudi tena nyuma, nae atakurupushwa na kung'olewa kama shina la...
10 Reactions
8K Replies
666K Views
  • Sticky
Hapa Nyerere akiikosoa Uingereza pia Hapa Nyerere akizungumzia Rhodesia Heheheeee Nyerere bana....kanifurahisha hapo aliposema 'jitu zima' hahahahaaaa. Nyerere na Mandela wakizungumza na...
78 Reactions
636 Replies
175K Views
MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013 Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika...
1 Reactions
4 Replies
21 Views
Nimesoma maandiko ya ndugu yangu Mohamed Said aliyoyaweka katika kitabu chake akiitacho Historia ya Uhuru upande wa Pili. Katika maandishi yake ameonyesha wazi kulazimisha dunia iamini kuwa...
103 Reactions
18K Replies
1M Views
MISRI ni nchi inayozunguka kona ya kaskazini mashariki ya bara la afrika hadi kwenye Rasi ya Sinai kusini magharibi mwa bara la Asia Nchi ya Misri imepakana na nchi kama Israel, Palestine...
7 Reactions
21 Replies
583 Views
Naanzia kushoto kwenda kulia 1) Salim Ahmed Salim 2) Joseph Sinde Warioba 3) Rashid Mfaume kawawa 4) Julius Kambarage Nyerere 5) Ali Hassan Mwinyi 6) Idrissa Abdul Wakiil 7) Maalim Seif Sharif...
4 Reactions
26 Replies
638 Views
Ukishasikiliza mazungumzo ya Mwalimu Nyerere katika hiyo video hapo juu sasa soma Hotuba yake aliyotoa Bungeni tarehe 10 Desemba, wakati Tanganyika inakua jamuhuri mwaka wa 1962. Hotuba ya...
20 Reactions
379 Replies
19K Views
Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu...
129 Reactions
2K Replies
164K Views
KWANINI MJI ULE ULIITWA ROMA? Roma ni mji mkuu wa nchi ya Italy, ni mji wenye historia ndefu duniani... Kwa maana historia yoyote ya dunia haitokamilika kama hujaizungumzia au kutaja Neno Roma...
7 Reactions
11 Replies
417 Views
Hii ni vita iliyojulikana kama July War au 2006 Lebanon war unakuwa hujakosea kabisa, vita hii ilichukua takribani siku 34 tu, ni muda mchache tu, lakini kuna mengi ya kufahamu juu ya hii vita...
42 Reactions
334 Replies
35K Views
MFALME CONSTANTINE I WA ROMA Huwezi kuutaja UKRISTO katika dola ya Roma bila kumtaja Mfalme Constantine I ukifanya hivyo huenda historia yako hiyo isikamilike Kwa sababu hapo awali...
6 Reactions
29 Replies
454 Views
Napenda kujua ni kwa namna gani wajerumani walitumia kuyapa majina haya maeneo ya Tanganyika enzi za ukoloni majina ya kijerumani? German placenames Most place names in German East Africa...
8 Reactions
18 Replies
4K Views
SANI ABACHA, MBABE WA MAPINDUZI NIGERIA, UTAWALA WAKE ULIGUBIKWA NA UFISADI, MAUAJI,UKATILI NA UKIUKAJI MKUBWA WA HAKI ZA BINADAMU: LAKINI NI KIPINDI CHAKE NIGERIA ILISHUHUDIA MAGEUZI MAKUBWA YA...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wajerumani walipofika Tanganyika waliwakuta Waislam wanafahamu kuandika, kusoma na walikuwa wameelimika katika hesabu. Mmishionari Ludwig Krapf alipofika kwa Chifu Kimweri wa Usambaa mwaka 1848...
9 Reactions
271 Replies
8K Views
Soloist International Mbaraka Mwinshehe Mwaruka. 1970 aliporudi kutoka Expo akakuta maneno Dar es Salaam kuwa Morogoro Jazz imependelewa kuchaguliwa kwenda Osaka. Mbaraka akawaambia wenzake kuwa...
5 Reactions
17 Replies
9K Views
Ukimtoa Malkia Elizabeth II basi hakuna kiongozi mwengine wa kifalme aliyeiongoza uingereza kwa miaka mingi zaidi kumzidi Malkia Victoria kwa miaka 64 ....Ndio malkia Victoria ndio jina Lake...
3 Reactions
23 Replies
663 Views
  • Redirect
Kama mda inavyojieleza rafiki yangu anauliza njia nzuri ya kudai haki yake anauhitaji ila boss wake hajamlipa pesa week ya 3 leo toka mwezi umekishwa tunaombeni ushauri
0 Reactions
Replies
Views
Babaji ni Himalayan yogi ambaye ameishi kwa muda mrefu sana. Kila mtu anapaswa kumfahamu Babaji ni nani. Inasemekana Babaji amezaliwa Madras, India, AD 200. Mpaka leo yuko hai. Nilitamani...
2 Reactions
6 Replies
200 Views
Tafsiri ya kitabu The Autobiography of Malcom X. Unaweza kukisoma ndani ya Maktaba app. Muandishi: Malcom X(Alex Haley), 1965. Mtafsiri: Pictus Publishers ltd Email...
10 Reactions
139 Replies
11K Views
https://youtu.be/hCen4tG9zig
0 Reactions
4 Replies
100 Views
https://youtu.be/wGFGRHGpGYw
0 Reactions
0 Replies
45 Views
https://youtu.be/hCen4tG9zig
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Back
Top Bottom