Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,490
- 3,517
Kiuhalisia Afrika (Tanzania) suala zima la maendeleo ndio basi tena, zitabaki hizihizi kelele za siku zote mara sijui katiba mpya, nchi achukue yule, mara uchawa, mara ndio baasi tena. Lakini jibu ni kwamba Waafrika hatujiwezi (ukweli mchungu)
Kwani miaka mingapi imepita. Niambie wew nchi gani ya Afrika ambayo ilio tishio duniani kiuchumi, kiutawala na kiteknolojia. Ukiniuliza Asia nitakwambia zipo kibao nyingi tu, Urusi, China nk...
Ulaya England, France, America.......
Wenzetu China wapo katika uzinduzi wa magari. Sisi tumepata majibu kumbe yule Muuza madafu ni askari.
Jibu tushapata Waafrika hatujiwezi Wazungu wana mikakati gani na sisi ili watukwamue au hawajui kwamba hatujiwezi tukawapange?