Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,582
- 113,795
Wanabodi,
Karibuni,
Karibuni,
Nimewaona, mmechafua mji wote, kwa kukodi boda boda zote na bajaji zote, hakikisheni wanajiandikishaMkuu karibu kwenye maandamano , tuko hapo hapo
Kumbe Tanzania kuna Media? Nilikuwa sijui kwani nilishazoea ili uitwe Media usiwe Unajipendekeza sana kwa Serikali.
Bora ya maandamano utapata hata uleewa wa jambo fulaniNjoo kwenye Maandamano leo Lissu anarusha MAKOMBORA MAZOTO
ISIJEKUWA KAMPENI YA CCM KUTAKA SAPOTI YA WAANDISHI WA HABARI MAANA WAANDISHI WENGI NI WACHUMIA TUMBO HAWAJALI USTAWI WA WADANGANYIKA UKIZINGATIA UCHAGUZI UMEFIKA
Acha kuwapangia watu. Sheria za kwenye familia zako usitake kuleta hata kwenye mambo ya muhimu na ya msingi.Hili jukwaa la wahariri ni kusanyiko la wahuni tupu, badala ya kumwalika Tido Mhando ambaye aje awape mbinu na uzoefu unamleta Doto ambaye ni Mwl hajui hata tasnia ya habari ikoje na hana mchango wowote ni kutafuta kujipendekeza kwa watawala, namna hii kuna mhariri ataruhusu habari ya kukosoa hii serikali dhalimu na fisadi? shame on you
Kwamba Dotto atawashauri nini zaidi ya kuweka ukaribu wa kualikwa kwenye makongamano ya serikali na kuondoka na bahasha?Acha kuwapangia watu. Sheria za kwenye familia zako usitake kuleta hata kwenye mambo ya muhimu na ya msingi.
Msisahau kupita kwenye maandamano hapo kushinikiza tume huru iwe huru kweli na sio jina