Christina Shusho, colabo na Diamond hapo umeliwa!

Kuna Mishangazi inajaliii, afu ipo sexy and so funny....
Screenshot_20240429_173856_Messages.jpg
 
View attachment 2976797
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto!

Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama .
Christina Shusho hatakuwa wa kwanza kuingia mtego huo!
Kila la heri mwimbaji wa nyimbo za Injili, ambaye sasa ana assingment!
Itapendeza kama atazaa nae mtoto wa kiume
 
View attachment 2976797
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto!

Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama .
Christina Shusho hatakuwa wa kwanza kuingia mtego huo!
Kila la heri mwimbaji wa nyimbo za Injili, ambaye sasa ana assingment!
Mtoa mada unaongea as if diamond anawalazimisha kulala nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom