Wameitangaza hii UTV kwenye Morning Trumpet.
Kiwanda kilikuwa kimeandaa na kutengeneza umeme wao pitia mitambo yao ya kufua umeme huo inawezekana kutumia maboiler ya huko kiwandani.
Usiku wa leo ndio walikuwa wanawasha rasmi huo umeme wao, inaonekana umeme umekuja ukiwa mkali na...
Wabajifurahisha vijana wa sasa. Yeye hana hata mia mbovu mfukoni alafu Azam atoe pesa zake tu hovyo hovyo. Utawasikia akina sinza pazuri eti Dayamond kamnunulia yule dogo anayetembea kwa kupepesuka cheni ya Tsh 150,000,000. Wanadanganyika sana hawa Vijana na kuona pesa inapatikana kirahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.