"ngoja nitafute hela" hili ndo neno.. kila kitu kitakuja chenyewe hata ukiwa na mika buku.. niko na 58yrs ila girls 22 to 25 ndo natumia mkuu [emoji3][emoji3]
sasa kwanza unaanzaje kwenda kwa fundi maiko? gereji zinazoeleweka si zipo? ni ubahili tu huendi gereji unakata kona kichochoroni kwa fundi maiko lazima uumie
heheheeee usithubutu.. bafuni utaenda umebebwa bila nguo unakalishwa kwa kigoda then "mbupu" zinawekwa kwa sahani na kuoshwa kwa maji vuguvugu af as. utakuta nguo zimelowekwa ndo bhaaasi hutoki teeena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.