Aisee upo deep Sana kwenye ulimwengu wa magari hasa Kwa Sisi car enthusiast huwa tunafurahi Sana tukisoma habari za magari hasa kuhusu mambo mbalimbali ya magari..
Kama hapa Tanzania tungekuwa na kart racing games ningemlipia Mtoto wangu Kwa gharama yeyote ningeuza Hadi shamba ilimradi Mtoto...
Vipi kuhusu zile km 2500 za Lami zimeishia wapi?
Vipi kuhusu barabara ya kutoka kibaha- MOROGORO imeishia wapi?mlisema itakuwa barabara ya kulipia huku magari yakienda Kwa speed 120 km/H.
Tanzania tulitakiwa kupata Uhuru 1995...kama tumeshindwa kuendesha hii miradi tutaweza kwenye kipi? Kama tumeshindwa kujisimamia wenyewe ni Nani atatusaidia?
Tulipiga hatua 10 mbele na sasa tumerudi nyuma hatua 8
Marekani anahangaika ili magari ya mchina yasiingie ulaya.
Nchi kama Australia wao Wanafanya biashara na china tena ndiyo soko Lao kubwa lipo Huko...mchina amekuja Kwa speed kubwa Sana kwenye magari ya UMEME
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.