Bora kutoa maoni kwenye matokeo si mipango maana mipango yote ni mihemko na utimu.
USA na washirika kama wana kiburi kweli waingie Urusi.
PUTIN kama ana nguvu kweli aidhibiti Ukraine maana si ni kanchi kadogo tu, anapigana nacho miaka na miaka.
Kama Mo ameweka pesa inamaana akiandamwa hivi atasusa mpaka maelewano yawepo na Club hataachia na hakuna pa kumpeleka kama kweli alitoa hizo pesa, tukija kushtuka msimu ushaisha tukiwa kapa.
Kama hakutoa pesa hastahili kuwepo, ni wa kumtoa kupitia sheria za Club na Nchi sababu msimu utaisha na...
Hii haiwezekani boss, itakuwa si VAT tena. Kinachotakiwa ni wale wanunuzi wa kubwa wa kwanza wanaotoa bidhaa viwandani kubanwa waingie kwenye mfumo, asiwepo supplier mkubwa ambaye ana mzigo usio na risiti.
Tatizo unakuta kuna limwanasiasa lina mzigo wake linausambaza bila risiti ukishasambaa...
Wamiliki huko juu ni kama imekuwa shida kuwadhibiti. Ukishawadhibiti hao wakauza kwa risiti wanaofuata hawana option maana walishalipa VAT lazima watataka waiamishe kwa mwingine kupitia mauzo. Wimbo wa ukiuza toa risiti utakuwa si common.
VAT imemlenga mtumiaji wa mwisho. We sema Serikali ihakikishe bidhaa zinazozalishwa viwandani na imports zitozwe VAT na zitolewe risiti na asiuziwe mtu mzigo bila kuonyesha min stock ya mzigo uliopita ufanane na VAT anayodai. Hawa wa juu wakinunua kwa risiti hawana option zaidi ya kuuza kwa...
Niffah umelenga mulemule hongera, sema kuna utofauti kidogo kuhusu uhusika matokeo ya mechi kwamba Simba ikifungwa ni Mo ndo angetoka ila sio ishu, kusema kuna vita ya kung'oana na ipo kweli umetisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.