Vita vyote vya uvamizi huwa vinaisha kwa kukaa chini na kuafikiana kati ya mvamizi na anayevamiwa kwa hiyo haisaidii sana ukiwaua hao viongozi ambao mtatakiwa mkae nao chini baadaye kuafikiana.
US hakushindwa vita katika uwanja wa vita bali aliamua kuachana na hivyo vita baada ya upinzani mkali wa hivyo vita nyumbani kutoka kwa raia ambao walikuwa hawaoni maslahi yoyote kwao kuongezeka.
Vita vya Vietnam hawakushindwa, waliamua kuachana na vita kwa sababu za kisiasa, halafu Marekani ya miaka ya 70 ni tofauti sana na hii ya leo.
Marekani haikushindwa Afghanistan, waliamua kuondoka baada ya kuikalia hiyo nchi kwa miaka 20 huku wakiona hakuna hamasa ya WaAfghanistan wenyewe wa...
Unauliza maswali ya miaka 250 halafu unajijibu kwa majibu ya miaka 50.
Empires/Superpowers zote kubwa duniani huwa zinatawala kwa kushirikiana na vassal states na kupitia alliances. Mataifa madogo ndio huwa yanapigana vita peke yake. Wamarekani hawapendi kabisa watu wao wafe vitani hata kama...
Kwenye conventional warfare hakuna nchi wa kuikaribia USA ila tatizo ni kwamba vita vikubwa vitakavyopiganwa na mataifa makubwa kwa sasa lazima mmojawapo aturusha nuclear tu na hapo ndipo itakuwa maangamizi kwa wote.
Ni wanasheria wangapi ambao ni vilaza kabisa kuhusu katiba ya nchi?
Ni wahasibu wangapi ambao ni vilaza kuhusu ufungaji wa hesabu?
Walioweka banda la kujifukiza corona muhimbili sio wataalamu wa afya?
Waliopima mapapai na kipimo cha corona sio wakemia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.