Hakuna.. Tanga ni mji uliotengengenezwa na Mjerumani..
Hata kama hujawahi kufika Tanga mwenyeji wako akikuambia anakaa barabara ya Sita nyumba namba 20 utafika bila shida.. Huku kwetu Mwananyamala mpaka uende na mwenyeji wako mara mbili au tatu ndio uijue njia..
Tanga kweli mjerumani alijua...
Hakuna.. Tanga ni mji uliotengengenezwa na Mjerumani..
Hata kama hujawahi kufika Tanga mwenyeji wako akikuambia anakaa barabara ya Sita nyumba namba 20 utafika bila shida.. Huku kwetu Mwananyamala mpaka uende na mwenyeji wako mara mbili au tatu ndio uijue njia..
Tanga kweli mjerumani alijua...
H
Hapo sasa ndio kuna hadithi tamu.. Kwa hiyo alikuwa na mbeba zege wa kumpelekea moto na akawa na Sponsor wa kugharamia maisha yake.. Kilipoumana Mbeba zege akasepa na ugali..
Hapo mtu anaumia na uwekezaji wa raslimali fedha alioufanya kwa mwanamke.. Wala tatizo sio mapenzi kama wengi wanavyoona..
Na ndio maana wazungu wanasema "Bet what you can afford to loose.."
Tatizo naloliona hapa sio flexibility au conservertism ya watanzania..
Tatizo kubwa ni Kwa wale wanaotaka mabadikiko kutojitokeza kupiga kura.. Na wale conservative wakiwa waaminifu kabisa kwa chama chao.. Ndio maana inafikia hatua tunatawaliwa na Rais aliyechaguliwa na wapiga kura Milioni 8...
Mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa tarehe 12/1/1964..
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa tarehe 26/4/1964..
Huoni kuwa Karume aliomba kuungana na bara ili apate ulinzi wa Mapinduzi yake..??
Nyie mnataka kuiga jamii za kimagharibi.. Hivi mnajua jamii za kimagharibi ni za hovyo kiasi gani katika suala la malezi ya watoto..?? Mjadala wa viboko ninauona kama mjadala wa washamba Fulani wasiojitambua wala kufahamu chochote kuhusuana na jamii zetu za kiafrika..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.