Search results

  1. Rockcity native

    Afcon 2024: bingwa ni Morocco au Senegal

    Bingwa kwa asilimia kubwa atatokea hapo, ila mabishoo wa Nigeria wakikaza wakaacha kulilia posho kama kawaida yao wanaweza pia kushangaza Afrika.
  2. Rockcity native

    Kwa hili TFF hamtoibeba tena Kitayosce FC

    Juzi zimetoka taarifa za upangaji matokeo kati ya mwenyekiti wa timu ya kitayose bw. Yusufu Kitumbo na baadhi ya wachezaji wa Fountain gate. Clip za maongezi hayo zimesambaa pamoja na miamala ya fedha kwa njia ya simu zimeonekana. Najua Uongozi wa Fountain ushapeleka vielelezo hivi takukuru na...
  3. Rockcity native

    Air Tanzania yapandisha nauli zake

    Habari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali. Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote. Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika...
  4. Rockcity native

    Luis Miqussone "new Cazorla ndani ya bongo"

    Huyu jamaa anapiga miguu yote 100% Style ile ile ya Sant Cazorla midfielder maestro wa zamani wa Arsenal. Kona ikiwa kushoto yeye utatumia guu la kulia, ikiwa Kulia yeye utatumia guu la kushoto Hakika simba imepata fundi...!!
  5. Rockcity native

    Hii ndiyo game pekee ya Taifa Stars iliyokula kiingilio changu kihalali

    Ilikua mwaka 2001 katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Ililikua Fainali ya Kombe la Castle. Stars ilishinda 3-1 dhidi ya majirani zetu Harambee Stars. Siku hiyo Stars waliupiga mwingi sana, support ilikuwa kubwa sana kutoka kwa mashabiki walioujaza Uwanja wa Kirumba. Magoli ya Stars yalifungwa...
  6. Rockcity native

    Kikosi bora cha Simba SC 1990-2010

    1. MOHAMED MWAMEJA 2. SAID SUED 3. ALPHONCE MODEST 4. VICTOR COSTA NAMPOKA "NYUMBA" 5. GEORGE MAGERE MASATU 6. SELEMAN MATOLA 7. STEPHEN MAPUNDA "GARINCHA" 8. HUSSEIN MARSHA 9. ATHUMANI MACHUPPA 10. MADARAKA SELEMAN 11. NTEZE JOHN "LUNGU'
  7. Rockcity native

    Mike Tyson vs David Tua

    Wataalam wa masumbwi wanasema hili pambano kama lingefanyika basi lingekua pambano bora la karne. Mwenye kujua kwanini pambano hili halikufanikiwa kupangwa atujuze.
  8. Rockcity native

    Kesho ndo kesho Lakezone derby

    Kati ya toto africans ya mwanza na mwadui ya shinyanga ndani ya uwanja wa kirumba
  9. Rockcity native

    Ni wakati wa Bakhressa kudhamini Ligi Kuu Zanzibar

    Bakhresa adhamini na ligi ya zanzibar, ni aibu sana kuiacha ligi hiyo wakati sehem nyingine anamwaga fedha nyingi... Hata kama anatanua soko la bidhaa zake lakini kuiacha zanzbar ambayo ni asili yake si busara
  10. Rockcity native

    Adebayor amtuhumu mama yake kuwa anamroga

    Huyu jamaa kamtuhumu mama yake kumuwangia na hadi kumfukuza kwake...
  11. Rockcity native

    Wimbo wa Wagosi wa Kaya (piga bao) kufungiwa

    Kisa cha kutaka kufungiwa ni kukosa maadili katika tenzi zake.
  12. Rockcity native

    Hivi kuna connection gani hadi mbwa kujipeleka kwa chatu?

    Wakuu, nimekua nikijiuliza sana hii kitu. Hivi kwanini mbwa hujipeleka kwa chatu mwenyewe akamezwe? hata akiwa umbali wa mita 100?
  13. Rockcity native

    Je wajua kuwa wimbo wa Hello wa Hussein Machozi ilikuwa amshirikishe Jide

    Je, wajua kuwa wimbo wa Hello wa Hussein Machozi ilikua amshirikishe Jide lakini Jide akakataa kisa Machozi ni msanii mdogo, mwisho wa siku Machozi akampa shavu maunda Zorro. Je, wajua kuwa jina la Sugu la mh Mr 2 alikopi na kupest kwa muigizaji wa kikundi cha tausi nchini Kenya (komando sugu...
  14. Rockcity native

    Je, huu ni uungwana? Kipindi bora ktk radio

    Kwa anayejua hiki kipindi kupitia radio free atakubaliana na mimi kuwa ndo kipindi bora cha radio kwa sasa.
  15. Rockcity native

    Hivi jina la Campbell lina mahusiano gani na watu weusi hasa wanamichezo?

    Kuanzia Sol Campbel,Kevin Campbel,Fraizer Campbel, Joel Campbell hadi mwanamitindo maarufu Naomi Campbel. Wote ni weusi, kiukweli sijawahi kusikia jina hili kama ubini wa supastaa yoyote mzungu. Kama yupo mtaje
  16. Rockcity native

    Yupo wapi Adamu Mubago wa 5 celebity ya channel 5?

    Huyu jamaa alikua bonge la mtangazaji wa kipindi cha mahojiano ya wasanii wa bongo fleva enzi hizo chanel 5 inaanza kurusha matangazo yake baada ya kubadili jina toka ITV 2. Kwa anaejua jamaa yupo wapi sahivi akitangaza atujuze.
  17. Rockcity native

    Zamani ukiachwa timu ya taifa kwenda worldcup majonzi tele lakini sikuhizi.....

    Enzi zile 1998 na 2002 romario de souza alitokwa machozi pale alipotemwa katika timu ya taifa, lakini sikuhizi naona mtu akiachwa timu ya taifa anaona poa tu, wengine wanajitoa bila sababu ya msingi kama carlos vela wa mexico. Sasa sijui ni kukosa uzalendo,hamasa au mashndano yamekosa mvuto
  18. Rockcity native

    Je, wajua barca akishinda michezo yake miwili anakua bingwa?

    Hapo itajidhihirisha endapo akimfunga Elche na Atletico madrid katika la liga.
  19. Rockcity native

    Kama Rostam Aziz ana uraia wa nchi mbili kwanini Adam Nditi asiwe nao?

    Ndugu zangu Tanzania inapoteza rasilimali watu ambao wanaweza wakaipeperusha vizuri bendera ya nchi nje kwa sheria mgando wakati inalinda mafisadi ambao wanaipa hasara nchi kwa kupindisha sheria hizo. Kwanini tusiwape haki watu kuwa na uwezo wa kuwa na uraia wa nchi mbili na tukawatumia kwa...
  20. Rockcity native

    Kati ya kipa wa liverpool na kipa wa Atletico yupi anastahili kuwa namba 1 Belgium?

    Kati ya Thibaut Courtous wa Atletíco Madrid na Mignolet wa Liverpool yupi anastahili kuanza kama namba 1 golini ktk milingoti ya timu ya taifa ya Ubeligiji ktk kombe la dunia?
Back
Top Bottom