Wakuu habari,
Chama cha Umokhonto We Sizwe (MK) chini ya kiongozi wake na aliye kuwa raisi wa zamani Jacob Zuma wamejizolea asilimia 13 ya wabunge wote mpaka sasa wamesha hesabu 80% ya wilaya...
Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi.
Mojawapo na hili la mikopo ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
Ndugu wajumbe,ubora wa Vyuo Vikuu hupimwa Kwa Wingi wa tafiti na machapisho ya kitaalmu.
Kwa mujibu wa taarifa ya jarida la masuala ya Elimu ya Juu,Limetaha Vyuo 10 Bora Barani Afrika Kusini mwa...
Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana.
Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio...
Hospitali ya Rufaa ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro imezindua wodi ya kisasa ya wanawake wajawazito itakayotoa fursa kwa mwanaume kuingia wodini wakati mke wake akiwa kwenye hatua za kujifungua...
Nikiwa maeneo ya Sinza (Palestina), nikiwa nazungusha zangu Vipichu Mdangio, ghafla nasikia honi nzito nyuma yangu, ile kupisha tu, Range la maana Plate E linakatiza upande wangu. Nikiwa katika...
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.