Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari nipo Dar es salaam,natafuta rafiki wa kike sichagui dini Wala kabila ila awe mwenye umri wa miaka 18-30 ili baadae awe mke wangu aliyetayari anitafute pm ntampa namba yangu ila awe mkweli.
2 Reactions
16 Replies
74 Views
China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans. The world's first transcontinental live telesurgery Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje? Huu ndio upasuaji wa...
3 Reactions
23 Replies
206 Views
Hivi inchi hii iliyojaa madini, ardhi ya kutosha idadi kubwa ya watu. Bado tupo kizazi Cha taarifa. Ila bado kuna vijana wanaona bila Ajira maisha ndio basi. Mimi mkoa ninaoishi mwajiriwa wa...
4 Reactions
3 Replies
145 Views
Naomba hilo swali langu Hapo juu lijibiwe bila mihemuko Ahsanteni 🐼
3 Reactions
8 Replies
60 Views
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
15 Reactions
270 Replies
5K Views
Kwenye ule mgogoro wa Ziwa Nyasa ndo Malawi walitaka vita na Tanganyika/Tanzania? Aisee ngoja nikaushe tu. Ndege inatafutwa siku 2 hapo hapo Lilongwe? Bado mnaomba Msaada dunia nzima. Hapo hapo...
6 Reactions
25 Replies
634 Views
Kuna mtu nilishawahi kumuuliza Hivi Kutengeneza Juice ya Ukwaju na Ikawa Nzito kama ya Mzee wetu, inahitaji utengeneze na Ukwaju kiasi gani?. na je ushawahi kuona au kusikia wamenunu maembe au...
6 Reactions
38 Replies
836 Views
Naomba tuwape heshima waalimu walioacha legacy inayodumu kwa wanafunzi wao. Mimi naanza na huyu. Mwalimu Mnzava - Mbeya secondary (Mbeya Day) Huyu mama alihamia hii shule miaka ya mwisho ya...
31 Reactions
230 Replies
13K Views
HABARI: Juni 11, 2024 - Sanamu ya Askari jijini Dar es salaam ikiondolewa leo kupisha mradi wa ujenzi wa barabara ya BRT unaoendelea sehemu mbalimbali jijini. Tunafuatilia Kinikia hili kujua...
0 Reactions
7 Replies
162 Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
21 Reactions
6K Replies
233K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,320
Posts
49,854,016
Back
Top Bottom