Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba hilo swali langu Hapo juu lijibiwe bila mihemuko Ahsanteni 🐼
6 Reactions
38 Replies
321 Views
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
8 Reactions
444 Replies
16K Views
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00...
7 Reactions
237 Replies
3K Views
My Take Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele. Tafuteni hoja nyingine 👇👇 ====== “TPA (Mamlaka ya Bandari Tanzania) mwaka jana (2023) nina...
9 Reactions
105 Replies
3K Views
Woga na hofu miongoni mwa wangwana wengi humu duniani, vimechelewesha na kukosesha watu vitu na mambo mengi mazuri sana waliyopaswa kua nayo au kuyafikia mapema katika dunia hii. Majasiri wengi...
4 Reactions
34 Replies
383 Views
Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti. Tuambie na namna ya kuzipata. Mfano: Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser...
9 Reactions
40 Replies
1K Views
Habarini jamani, Kuna binti niliwahi kuwa katika mahusiano nae miaka ya nyuma kipindi tupo secondary lakini mahusiano yetu yalivunjika mara baada ya sote kujiunga na chuo Kwa sasa ni mke wa mtu...
3 Reactions
56 Replies
1K Views
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
15 Reactions
68 Replies
1K Views
Ukiangalia maongezi yake unaona kila mda anajitetea kuhusu mabilioni ambayo ukiweka MAGAZIJUTO ni kama chenga fulani. Simba inaitaji kuchukua wanasheria kuokoa timu la sivyo tutajikuta timu ni...
3 Reactions
6 Replies
225 Views
Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja...
3 Reactions
3 Replies
42 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,354
Posts
49,855,453
Back
Top Bottom