Kwakweli hii kitu imekuwa kawaida kabisa kwa sasa.
Wadada wetu tena wengine kwa kupenda wenyewe kabisa wanaruhusu kufanyiwa mchezo huu. Najiuliza tatizo ni nini hasa?
Ni mfumo wa maisha...
Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu...
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
Habari wandugu ...,
Nawaleteeni huduma bora kabisa na ya haraka zaidi kwa mahitaji tajwa hapo juu karibu nawe....
Zote zinapatikana Moshi mjini kona zote au mitaa yote na utazipata ka haraka...
Habari wadau, kama nilivyo eleza hapo awali nahitaji mawazo yenu kuhusu biashara ya kufanya kongowe pwani kwa mtaji wa laki 5.
Pia soma Nahitaji ushauri nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani?
Ndugu zangu Watanzania,
Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu ,amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi...
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.
Lililonileta ni...
Aisee hii bia ya Serengeti nilikuwa naipenda sana lakini Kwa Sasa Wacha niipe talaka tatu wamekuja na sticker la hovyo kabisa rangi mbaya sana utafikiri ya chama kile chakavu mtakosa mapato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.