Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
1. Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje?
2. Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi...
Mkurugenzi wa Chadema mh Jon Mrema amesema kitendo Cha Wanachama.wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA
Ukurasani X mh Mrema amesema Sheria...
Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
Habari zenu wadau. Naomba kujua tafadhali. Kipi bora kati ya hivi : 1. Ninunue mpunga nikoboe zitoke kilo elfu moja niweke ndani kwa ajili ya matumizi ya familia. Au ninunue mpunga, niweke...
Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto...
Kuna tetesi kuwa Nabi ameamua kwenda kufundisha klabu ya Kaizer chief baada ya kufikiana makubaliano ya pande zote mbili.
Baada ya kuifundisha Yanga kwa misimu miwili yenye mafanikio kwa ngazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.