Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.
- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta
- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
Hata kampuni moja ya ndege iliyokuwa inakwenda Chato, mara moja kwa wiki, sasa imesimamisha safari zake.
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Sarah Reuben akijibu swali la...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa.
Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi...
Kiukweli waarabu washukuru sana wanapambana na Israel maana ingekua Urusi au Wachina wasingekua na hizi huruma, wao hupiga kitu kinachoitwa carpet bombing, Israel wana uwezo wa kusambaratisha kila...
Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, KIA na Zanzibar ndege kama Emirates, Fly Dubai, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa masaa...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema Jimbo hilo lina Vituo vya Afya katika Kata za Mkuyuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.