Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
0 Reactions
70 Replies
3K Views
Kwenye ukurasa wake wa X (Twiiter) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndg. Nape Nnauye amesema huduma za internet zimerejea kwa 94% na sasa wanafanya jitihada huduma hiyo...
3 Reactions
1 Replies
2 Views
Salam wadau. Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini,watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo. Mtu...
0 Reactions
7 Replies
38 Views
Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua... Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye...
33 Reactions
121 Replies
7K Views
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa. Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi...
19 Reactions
89 Replies
3K Views
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu...
2 Reactions
6 Replies
33 Views
Depression inaniua taratibu, sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
15 Reactions
78 Replies
1K Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
60 Reactions
331 Replies
8K Views
Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
18 Reactions
152 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,986
Posts
49,619,372
Back
Top Bottom