THE ORIGIN OF FREEMASONRY.
CHIMBUKO LA FREEMASONRY
NJAMA ZA BWANA LUSIFERI.
Kwenye somo hili juu ya chimbuko la Freemasonry nimependa niongezee kionjo hiki kukuwekea uelewa wako sawa.
Kuna aina mbili za UASHI au MASONRY
1. FREEMASONRY - WAASHI HURU
2.SHRINERDOM - USHRINER
FREEMASONRY au...
[emoji23]hii ndiyo shida ya mbongo..mbinu umeshapewa tiyari tena bure bila gharama ila bado unahitaji tukuibie ndipo uridhike yaani unataka tujigeuze waganga au watabiri na manabii uchwara tukwambie tufuate inbox tukupe maelekezo.
Mnasoma ila hamwelewi anachokiongea James Kashirina a.k.a "Mr. Lucifer himself" ya kwamba hayo maandiko unayojivunia hata mtunzi wake King James ni member wa chama chetu pendwa. Na huyo unayemwita ili kutu-rebuke ni walewale..."
Siku zote kina cha maji hakipimwi kwa kuyatazama kwa macho tu bali unahitajika ujasiri wa kuitia miguu yako ndani yake na ukitaka kujua raha ya ngoma ingia ucheze..siku zote hakuna mbivu bila mbichi..hivyo ukitaka utajiri fanya yaletayo utajiri na pasipo manuva hapa duniani tegemea ukapuku.
Hahahaa[emoji23]...eti zaka ni kanuni aliyoweka Mungu kutajirisha waumini!?[emoji125][emoji125][emoji125]
Em' we kondoo wa bwana toka usingizini ujitambue kuwa mchungaji, masheikh na mapadri uwaonao mbele yako ni wafanyabiashara kama walivyo wafanyabiashara wengine ila utofauti wao na wenzao ni...
SIGIL YA MAMMON; FUNGUA NJIA YA MAFANIKIO NA UTAJIRI KWA KUTUMIA SIGIL YA MARMON.
Najua wengi wetu tunapenda Pesa na mafanikio, Tunapenda kumiliki mali (Material gain) basi katika pita pita kwenye maswala ya Magic na Elimu ya siri iliyo fichwa ya uchawi yaani OCCULT kuna utatuzi wa mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.