Being a wacko is not a crime. Or is it?
DA Alvin Bragg campaigned on a promise to get Trump. That’s targeting.
Democrats have crossed a rubicon that they will live to regret it one day.
Now it’s tit for tat.
Some Republican prosecutors in red states will be targeting Joe Biden and other...
So?
Huyo jaji hawezi tu kujitungia hukumu zake anazotaka yeye.
Kuna miongozo ya kisheria.
Licha ya hivyo, ngoma bado mbichi na ikibidi itaenda mpaka kwenye mahakama ya upeo.
You know what? Ingekuwa ndo Biden anafanyiwa hivi, ningekuwa upande wake.
Sipendi uonevu.
Hiki kinachoendelea dhidi ya Trump ni lawfare.
Hata CCM huwa inatumia lawfare dhidi ya wapinzani. I’m against that too.
Having said that, I just went and donated money to Trump’s campaign.
Sipendi uonevu wa aina yoyote ile.
My sense of justice is clearly far superior to yours.
Mimi hata watu nisiowapenda, nikiona wanaonewa, nitasema.
Wewe inaonekana uko tofauti.
Simpendi Nape. Lakini aliponyanyaswa kwa kunyooshewa bastola, nilikipinga hicho kitendo.
Nimepinga mara nyingi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.