Bora utafute hata danga huko mtaani uishi nalo huku unajua kabisa mke wangu ni danga kuliko kupoteza muda wako kutafuta mke mtandaoni utakuja kulia sana. Shauri yako
Mkuu tatizo mnakopa sana hela, hebu kopa akili kidogo alafu uje hapa ujibu sawali langu je, hayo matumaini ,mapendo na imani ya watanzania ipo kwenye chama au kwenye miradi aliyoiacha mwendazake pamoja na uchumi wa kati wa mtu moja mmoja ?
Mm navyojua hata uweke dhamana pia ukikopa lazima wazingatie kile kifungu cha ability to pay. Sasa hawa wanaotukopesha huwa wanazingatia nini hasa ili hali wanasema sisi ni masikini?
#HABARI Rais wa Iran Ebrahim Raisi pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Hossein Amir-Abdollahian na wengine kadhaa wamethibitishwa kufariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea jana Jumapili Kaskazini-Magharibi mwa Iran hii ni kwa mujibu wa runinga ya Taifa hilo.
Taarifa za awali...
Ndugu zangu..
Hawa wanawake wa sasa sijui shida ni nini , hawapo romantic kabisa , ni wakavu mno na hawaonyeshi ushirikiano chanya wa kihisia kwa mwanaume.
Ni wagumu sana kihisia mpaka mtu unawaza labda hapa sipendwi kumbe mtu unapendwa ni vile tuu unakaa kimachale machale
Ni nini kinapelekea...
Ndugu zangu.
Hivi ni nani anayepaswa kulipa mahari ili binti aolewe.
1: Je, ni kijana anayetaka kuoa ndiye anaye lipa
2: Au ni Baba mzazi wa kijana anayeoa ndiye anayemlipia kijana wake mahari ili aoe binti aliyempenda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.