Recent content by Eliyak

  1. E

    Falsafa ya mzee wangu kusomea Udaktari, Engineering au Sheria imetuokoa sana Watoto wake hence prooven, Nami sina budi kuiendeleza kwa watoto

    Point iyo kikubwa survival chance iko wap hao wenye akili tuwaache na akili zao. Naionaga graduate wenzangu wa forex wanatuzarua waajila kwamba tuna akili ya kimaskini Ila miba yao Sasa daily ko ukiwa una waza Sasa ao wenye brain altitude za kitajiri Ila in real life they are dependent ni Bora...
  2. E

    Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

    Correctly na lengo la serikali ilikuwa ni kuzifany hiz hospital ziendeshwe ka za uma na sio kibiashara. Ili kuweka uzani saw Ila mtu na udini analinganisha na mkataba wa hovyo wa bandari. Naikumbukwe umesainiwa top wa inch ni waislamu
  3. E

    Dijitali na siasa za CCM

    Kitu dhahiri na Cha wazi , mitandao ya kijamii Ina ipa shida serikali ya ccm na mifumo ya inchi. Mambo yalio kua siri ya serikali yanakua wazi kwa hadhara ya watanzania na upinzani / wenye kutaka mabadiliko wanapata fursa ya kutema nyongo pasipo shaka ya hujuma za kuhujumu serikali. Ivyo Basi...
  4. E

    Kwanini Zelensky analaumiwa kwa kuzuia uvamizi wa Putin

    Iyo Vita nimatokeo ya siasa baina ya mataifa mawili yenye nguvu za kivita duniani Kati ya urusi na USA. Tukumbuke tokea anguko la umoja wa kisovienti sisa za dunia zilikua na mlengo mmoja . Yaani USA na washirika wake EU kwa kimvuli Cha Uhuru na haki yaki demokrasia ili kulinda maslai yao hasa...
  5. E

    Nijaribu kufikiria hotuba ya Hayati Mkapa kwenye msiba wa Hayati Magufuli vile ingekuwa!

    Mwamba katupiga pakubwa ka vile atujui kusoma!!!!
  6. E

    Hakuna biashara inafilisi kama uchimbaji wa madini

    Inatokea sana ni vyema kila ukiopoa kalo unapima ata ka no dula moja mkanda hua una change bro. Unaeza jitungua kumwaga hela kumbe ishachange kitambo
  7. E

    Hakuna biashara inafilisi kama uchimbaji wa madini

    GGM Wana tumia softcated machine wanafanya geophysical surveys na ku drill kujua exactly position to mine. Uku kwetu hivyo havipo nikubahatisha Yan kubeti ndio Mana kupunguza hasala duala Lina kua na wanachama wengi ili likikata limewakata watu wengi hela ndogo ndogo Ila iyo ya kujitungua...
  8. E

    Way forward to Tanzanian politics

    Tanzanian politics needs reform. Why? Because our politics originated from a single-part system and ujamaa. So government and judicial systems deliver their power from the executive government which also solemnly depends on the ability of the leader party. So in order to archive development...
Back
Top Bottom