Mapenzi ya kitoto raha Sana, eti kutuma vocha!
Wakati wengine tunawaza lini tutatuma:
-Ada ya Junior kindergarten 1.5mil jumlisha usafiri 150K
-Ada ya dogo Primary, English Medium 2.5mil.
Faidi maisha mwamba.
Haka kazee Kapuuzi Puppet wa wazungu wanakatumia kufanya machafuko DRC Congo Ili waibe madini, alafu kampuni ya Total ilimtumia kupeleka wanajeshi wake Msumbiji kakafeli.
Watumishi wengi waliochini ya TAMISEMI hawapendi kusumbuka. Wanapenda maisha yale yale yasio na changamoto au jambo jipya. Hata hizi Opras zilikaa miaka na miaka bado kuna waliokuwa hawataki kujaza.
Lazima tukubali mabadiliko. Penati ya kukosa mishahara labda itasaidia. Pengine pangeongezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.