Recent content by comte

  1. comte

    Bob Wangwe: Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais

    mkuu sijui kama unanijua-sijadili ujinga na uchafu
  2. comte

    Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Mkuu wakati mwingine uwe unajikubali- mbadala wa internet ni kitu gani?
  3. comte

    Tuhuma za Rushwa: Tundu Lissu awasilisha Ushahidi wake kwa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mbowe kutoa tamko

    Sasa unapinga nini? Iwe kwenye CCM, CHADEMA, TFF, KKKT ilimradi kuna uchaguzi hela inatumika halafu wewe unatafuta mtu wa kusingizia? Jinga sana wewe
  4. comte

    Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?

    Msamehe anawaza ki CHADEMA CHADEMA hawatachelewa kusema ni kwa sababu Kamati Kuu yao ilikuwa na kikao
  5. comte

    Bob Wangwe: Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais

    Usimchangamanishe Nyerere na uchafu
  6. comte

    Bob Wangwe: Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais

    "Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais, tumekuwa tukiwabembeleza wanachama wenzetu kugombea Urais akiwemo Dkt Slaa kumekuwepo na 'trends' hiyo kwamba hatujawahi kuwa na watu wenye nguvu sana hasa ya kuleta ushindani na hata nguvu za kuweza kushinda kwenye Urais...
  7. comte

    Chadema kutoa ratiba mpya ya Maandamano ya Amani hivi karibuni

    Sasa unachangia nini wakati huna unachojua?
  8. comte

    Ifike wakati mambo ya Muungano yasijadiliwe kama turufu za wanasiasa, tuendako siko!

    Hoja nzuri ila siyo rahisi- tuwaache wajadili ila tuwapuuze kama ambayo tumefanya kwa miaka 60 yote ya uhai wa muungano wetu
  9. comte

    Napingana na Dr Bashiru, Kuviachia Vyuo vikuu viajiri kama zamani

    Ardhi walijaa wachaga tu
  10. comte

    Chadema kutoa ratiba mpya ya Maandamano ya Amani hivi karibuni

    Hivi kumbe wewe ndiye uliyechukua nafasi ya Makene?
  11. comte

    Chadema kutoa ratiba mpya ya Maandamano ya Amani hivi karibuni

    NSSF- huwezi kuijua kwa sababu CHADEMA mnajitolea na Mbowe anakula hela yote kisha mnamuita tajiri aliyetoa hela zake kuendesha chama
  12. comte

    CCM rukhsa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Wewe huna akili kabisa- SINGLE MOTHER maana yake nini? Wewe unaona inawezekana kukawepo SINGLE MOTHER?
  13. comte

    Hivi Ally Hapi anafanya Mikutano ya hadhara kama nani? Mbona cheo chake hakina tija yoyote!?

    Kila siku unaleta vituko vya CHADEMA humu hata Mbowe akijamba unapost
  14. comte

    Hivi Ally Hapi anafanya Mikutano ya hadhara kama nani? Mbona cheo chake hakina tija yoyote!?

    ULIPEWA AU ULIJIPA USEMAJI WA CHADEMA HUMU JF? KWA KIWANGO HIKI CHA UJINGA SIWEZI KUKUACHIA KAYA HATA KWA DAKIKA MOJA
  15. comte

Back
Top Bottom