Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,919
21,782
Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa.

Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa amekaa wengi wameona maajabu na miujiza ni namna gani aliweza kupona mvua ya mitutu.

Amemshukuru Mungu kwa kumlinda na kuwahidi watanzania kuwa bado wako pamoja.

View: https://youtu.be/jIYP_sl7lt0?si=MJjaKp1HxQoPbktt
 
Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumba hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengune kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa.

Akiwa anafafanua. A kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa amekaa wengi wameona maajabu na miujiza ni namna gani aliweza kupona mvua ya mitutu.

Amemshukuru Mungu kwa kumlinda na kuwahidi watanzania kuwa bado wako pamoja.

View: https://youtu.be/jIYP_sl7lt0?si=MJjaKp1HxQoPbktt

Naangalia hayo macho ya mlinzi wa mbele na yule wa nyuma anapiga makofi😂😂
 
18 May 2024
Ikungu, Singida
Tanzania

TUNDU LISSU APOKELEWA JIMBONI KWAKE KWA KISHINDO, WATU WAMSUBIRI MPAKA USIKU

View: https://m.youtube.com/watch?v=jIYP_sl7lt0

Tundu Lissu akisimulia jinsi risasi zilipotoboa gari na kujeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana

TOKA MAKTABA:
Majeraha makubwa na operesheni kadhaa za kuokoa maisha yake zilifanyika na baadaye matibabu ya kukarabati mwili uliojeruhiwa vibaya kwanza ilianzia katika hospitali ya Dodoma kwa masaa kadhaa, kisha kuhamishiwa hospitali ya Nairobi alikotibia kwa miezi mingi na kuhamishiwa Ubelgiji kwa matibabu ya kitaalamu zaidi kwa zaidi ya miaka miwili

1716106007993.png
 
Ina maana toka Amerudi toka Ughaibuni hakuwahi kurudi kwao ? Au nako alikuwa kazuiliwa ? au ni siasa siasani .

All in All live long TL
 
Katiba iruhusu kugombea ubunge na urais ili agombee vyote mana kwasasa inatuhusu kugombea jimbo zaidi ya moja.....na udiwan
 
18 May 2024
Ikungu, Singida
Tanzania

TUNDU LISSU APOKELEWA JIMBONI KWAKE KWA KISHINDO, WATU WAMSUBIRI MPAKA USIKU

View: https://m.youtube.com/watch?v=jIYP_sl7lt0

Tundu Lissu akisimulia jinsi risasi zilipotoboa gari na kujeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana

TOKA MAKTABA:
Majeraha makubwa na operesheni kadhaa za kuokoa maisha yake zilifanyika na baadaye matibabu ya kukarabati mwili uliojeruhiwa vibaya kwanza ilianzia katika hospitali ya Dodoma kwa masaa kadhaa, kisha kuhamishiwa hospitali ya Nairobi alikotibia kwa miezi mingi na kuhamishiwa Ubelgiji kwa matibabu ya kitaalamu zaidi kwa zaidi ya miaka miwili

View attachment 2993760

Magufuli utakufa vibaya huko uliko johnthebaptist
 
Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa.

Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa amekaa wengi wameona maajabu na miujiza ni namna gani aliweza kupona mvua ya mitutu.

Amemshukuru Mungu kwa kumlinda na kuwahidi watanzania kuwa bado wako pamoja.

View: https://youtu.be/jIYP_sl7lt0?si=MJjaKp1HxQoPbktt

Nyie machadomo mna ujinga mwingi sana.Subirieni siku mkishika Dola ndio mtapeleka wenyewe
 
Ina maana toka Amerudi toka Ughaibuni hakuwahi kurudi kwao ? Au nako alikuwa kazuiliwa ? au ni siasa siasani .

All in All live long TL
Anaye andika hajui kwamba wakati wa ugombea urais alienda nyumbani, hata hivyo anaweza kwenda nyumbani wakati wowote bila kuwa nyuma ya mikamera ya waandishi wa habari
 
Back
Top Bottom