General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,122
- 2,309
Wakuu zangu nliomba kujuzana juu ya chanel mbalimbali za DSTV...Ama wewe mpenzi wa DSTV unaifurahia chanel ipi katika kujifunza kwako.
Nawasilisha
Nawasilisha
Hivi kwa nini Channel O siku hz haipo?Wakuu zangu nliomba kujuzana juu ya chanel mbalimbali za DSTV...Ama wewe mpenzi wa DSTV unaifurahia chanel ipi katika kujifunza kwako.
Nawasilisha
Sisi wa canal tunakula maishaUnasoma upepo!!?
DSTV no wale CCM wezi wapiga dili waliochangamka!!
Nililipia compact 64000/= mwezi uliopita nikacheki ratiba zao nikaona nusu fainali UCL itaonyeshwa ss premear league muda ulipofika wakaonyesha kwenye chanel nyingine sio Tena chanel Ile nilioweka!
Mwezi huu ndio wameweka tena sspremear league!!!
DSTV Tanzania wantuibia sana!!
Msimu ujao naitafuta canal sports hats Burundi nitaenda!!
Usiende Burundi ongea na watu uletewe hadi ulipoUnasoma upepo!!?
DSTV no wale CCM wezi wapiga dili waliochangamka!!
Nililipia compact 64000/= mwezi uliopita nikacheki ratiba zao nikaona nusu fainali UCL itaonyeshwa ss premear league muda ulipofika wakaonyesha kwenye chanel nyingine sio Tena chanel Ile nilioweka!
Mwezi huu ndio wameweka tena sspremear league!!!
DSTV Tanzania wantuibia sana!!
Msimu ujao naitafuta canal sports hats Burundi nitaenda!!
171 ID extra, 181 history channel, 186 discovery channel, 113 movie, 114 movie hizi ndizo channel zangu pendwaWakuu zangu nliomba kujuzana juu ya chanel mbalimbali za DSTV...Ama wewe mpenzi wa DSTV unaifurahia chanel ipi katika kujifunza kwako.
Nawasilisha
Kama una namba zao nipatie kabisa mkuu!!!!Usiende Burundi ongea na watu uletewe hadi ulipo
Niliipeda sana hii channel miaka ya 90, napenda sana muziki na kwa wakati ule ilikuwa mahala Pake, walikuwa na sessions kwa kilaadha ya muziki, soul asylum jazz n. KHivi kwa nini Channel O siku hz haipo?
Sijui waliipeleka wapi hii channel naona sasa hv channel za kinigeria za music kama sound city,hip 24, n.k ndio zinatamba huko dstv sijui hii channel yangu pendwa ya wasauz nini ilikikumbaNiliipeda sana hii channel miaka ya 90, napenda sana muziki na kwa wakati ule ilikuwa mahala Pake, walikuwa na sessions kwa kilaadha ya muziki, soul asylum jazz n. K
Last Aired march 31 2015 baada ya mnet kuona imepoteza umaarufu.
SS 223Wakuu zangu nliomba kujuzana juu ya chanel mbalimbali za DSTV...Ama wewe mpenzi wa DSTV unaifurahia chanel ipi katika kujifunza kwako.
Nawasilisha
Mkuu ukizipata nitag na mmKama una namba zao nipatie kabisa mkuu!!!!
channel O zipo nyingi tu mkuuHivi kwa nini Channel O siku hz haipo?
Hapa Arusha na kule Mwanza mtu anawapataje?Usiende Burundi ongea na watu uletewe hadi ulipo