Niliwah kuishi na kufanya kazi huko..tatizo Kuna radi balaa (sijawahi kuona sehemu watu Wana heshimu dalili za mvua Hadi mvua yenyewe kama huko)...ila nimepakumbuka sana...
Wakuu hivi betpawa amesha tulia..?? Umaweza kutoa pesa mama zamani..!?? Maana hapo katikati kulikua na malalamiko kibao kwamba watu hawaoni pesa pesa zao pindi watoapo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.