Hapana! Hapana! Hapana mkuu!
Mimi ni shuhuda wa hilo, sema tu kwa sababu fulani sitaki kuweka hadharani kwa sasa.
Wanawake wana upendo mwingi sana! Ukijua kuishi nao na ukawapa nafasi wanazostahili hawatakuangusha.
Kwa hapo napingana na wewe mkuu!
Kuna mwanamke na mwanaume anayewajali sana wazazi wake wa damu lakini hayupo tayari kumsaidia hata Panadol mkwe wake mgonjwa.
Hupaswi kumlazimisha mtu akuone wa thamani, lakini ni kosa kubwa sana kutokujithamini!
Imeandikwa, "Mpende jirani yako kama nafsi yako". Kutokujipenda ni kosa.
Ukijithamini, na wengine watakuthamini. Na hata wasipokuthamini itakupungizia nini ikiwa unajithamini?
Kijana mmoja, Yusufu, aliuziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.