Search results

  1. Manyahe

    Epuka, hii ni mojawapo kati ya makufuru!

    wangetulipa mapema hayo malipo
  2. Manyahe

    Gari za Formula 1® sio Gari, ni "Jet za chini" . Madereva wa F1 sio Madereva, ni "Marubani" wa Jet za chini

    sijui kwanini ila nikionaga tuchezo wowote alafu team moja ikawa na lebo ya redbull basi hiyo ndo team yangu yaan hata kama sjui walianzia wap
  3. Manyahe

    Je, kila nafsi itaonja mauti?

    sio saaaana
  4. Manyahe

    Labda ni dini zetu ndio zinazotuchanganya na kupotosha kuhusu Mungu

    mungu anaturekodi sisi na kamera yake na anatu-zoom sisi jioni anarudia kutuangalia kwa ukaribu
  5. Manyahe

    Je, jehanamu ziwa la moto na adhabu za huko ni za milele au sio za milele?

    inawashwa sigara unaingia motoni ikiisha tu na kubaki kishungi ndipo adhabu yako imeisha👿
  6. Manyahe

    Sisi Waafrika historia yetu iko wapo kabla ya ujio wa Wamisionari na Waarabu?

    hiyo rapta si ndo ipo kwenye maji now days
  7. Manyahe

    Kwanini Tanganyika iliuhitaji zaidi Muungano kuliko Zanzibar?

    binafsi muungano siutaki
  8. Manyahe

    Je, muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo kwa vigezo vipi?

    wazanzibar ni wanufaika wa moja kwa moja lakin wabara sizani kama kipo tunachotegemea kutoka kwa wazanzibar kwamba kisipofika bara basi wabara tutapauka ila huenda kuna wanaonufaika hususani viongozi Lakin kiuhalisia sioni wabara wanaonufaika
  9. Manyahe

    Nafanyaje kuwa pilot wa ndege?

    hata akianza na kuku wa mayai ndege ni ndege
  10. Manyahe

    Kuna utapeli wa kuambiwa umetumiwa mzigo lakini unaambiwa mzigo huo umetumwa eneo tofauti na ulipo

    unandugu uko london mpaka ushobokee huo mzigo.........anyway usichokijua ni kwamba asilimia kubwa matapeli huwapenda watu wenye tamaa
  11. Manyahe

    Usafiri wa Helkopta unaonekana siyo usafiri sahihi kwa viongozi wa kitaifa; nini maoni yako?

    ndio kwasabanu yale machuma ndio yanakuua ila ukiruka unakuwa unyama zaid
  12. Manyahe

    Usafiri wa Helkopta unaonekana siyo usafiri sahihi kwa viongozi wa kitaifa; nini maoni yako?

    wazito kwenye kuruka ukiona chombo inaenda mrama we unasepa tuu
  13. Manyahe

    Uchafu wa wasafiri kwenye Magari ya Umma

    kwani hilo gari ni lako mkuu?
Back
Top Bottom