24 Mei 2023
Afrika Kusini inaelekea katika majira ya baridi kali huku kukiwa na matarajio ya kukatika kwa umeme kwa kiwango kikubwa kuwahi kutokea hadi saa 16 kwa siku. Chanzo cha tatizo hilo ni usimamizi mbovu, rushwa na hujuma.
Alhamis moja alasiri, Novemba mwaka jana, mkandarasi wa...
Nashauri pia kuwe na elimu ya matumizi ya bangi
Jitu linatumia bangi asubuhi mchana na jioni kama ugali na wengine hutumia zaidi ya hapo
Kwa namna hiyo lazima tu bangi itakuwa na madhara kwako yani muonekano tu watu wanajua wewe ni mvuta bangi
Vuta bangi angalau mara moja kwa wiki
Upuuzi upuuzi tu
Unaongelea vipi askari wa kike kuvaa suruali?
Unaongelea vipi vipindi vitano vya swala kwa siku je vinafuatwa huko mafunzoni?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Magufuli nae alikuwa ni dhaifu sana ambapo hilo ni tatizo
Udhaifu wa Magufuli upo katika kutotaka kukosolewa udhaifu huo umemgharimu pakubwa
Angeacha watu wajisemee wanavyotaka na apige kazi lakini awe na wajibu hoja zitakazoibuliwa
Ingewezekana kufufuka leo bado hafai kuwa rais kwa upande...
Makonda akiwa rais nitahama nchi nitaidharau sana Tanzania
Makonda ni shujaa kwa watu wenye akili nyepesi tu
Kiuhalisia Makonda ni dhaifu sana
Namna alivyokuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam alikupendezeni?
Kumbuka kwamba hakuwa rais na alikuwa vile je akiwa rais?
Kuna watu watapigwa risasi...
Ukiwa na akili ndogo alafu watu waongee mambo yaliyozidi uwezo wa akili yako lazima uone kuwa ni mambo ya kutisha sasa ni busara kukaa kimya kuficha ujinga
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Trump ni wazimu na mnaomsupport pia
Unapokuwa nchi yoyote ile ni lazima uishi sheria za hiyo nchi
Jambo ambalo ni halali nchini kwako linaweza lisiwe halali katika nchi uliyopo
Kwa hiyo ukilifanya utakuwa umevunja sheria na utashtakiwa
Je hao wahamiaji wamevunja sheria za Marekani kwa hicho...
Huyo silaha akili hana povu linamtoka tu hapo hana maajabu yoyote
Kazi ya afisa ardhi wa kata anaifanya waziri
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Basi mtoa mada anaposema Brela kuna shida yuko sahihi sana kwasababu wale Brela wanahudumia jamii yenye watu kaliba zote wasomi na wasiosoma
Kwahiyo wanapopata mteja asiyeweza kujieleza vizuri ni jukumu lao wao watoa huduma kufahamu hoja yake na kuifanyia kazi na siyo kudeal na madhaifu ya mteja...
Mashirika yenye ufadhili mkubwa yako kazini kueneza ushoga kwa nguvu na serikali yako inajua na imeridhika hata usiumize kichwa kwa hilo hayo mambo siyo bahati mbaya wala tusilaumu watu wetu tuilaumu serikali
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Inawezekana na wewe ni msomi mnaojivunia usomi nchi hii
Swali kwako msomi
Inabidi mtu asome mpaka wapi ili aweze kuanzisha kampuni?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Awe makini tu Putin asije kumpatia yeye hicho anachoongelea yani kuuweka usalama wa maisha yake mashakani
Huyu ni mjinga na kwa ujinga wake anataka kuishirikisha dunia iingie gharama
Akubaliane na Putin maisha yaendelee aache udwanzi
Kama hawa watu/washirika wa ukraine wangekuwa na akili...
Sasa kuna wadudu fulani weusi wako kama inzi lakini wao ni wakubwa nafikiri wanawaita inzi chuma sijui au black fly soulders hao wanatajwa kuwa na uwezo wa kuzalisha funza wengi sana kwa siku moja kuna jinsi ya kutengeneza namna ya kuwavutia ili waje kwenye taka ulizoandaa
Sent from my TECNO...
Nimewaza kama wewe mkuu
Huyo hata uchawi hakosi, hakosi kuwa na tunguri huyo
Hapo kwenye dhamiri yake anajua kabisa siyo sahihi
Jitahidi kuwa angalau kama akina mzee ulimwengu wale peponi wana viti vyao vinawasubiri tu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hiyo unayouza hujasema kama ni kg6 au kg15
Lakini nashindwa kuelewa kwa sababu hiyo bei pia sioni kama inaingia kwenye kg6 au kg15
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Huyo Mwigulu ambaye ni moja kati ya wasomi sana nchi hii analalamika bila aibu kabisa kwa kujiamini eti kwamba watu wanakusanya kodi mabilioni ya fedha za serikali na kukaa nazo mpaka miaka mitatu bila kuzipeleka serikalini
Ukimsikiliza vizuri unamuona kama haelewi hata anaongea nini na akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.